Compamiso el Commandante JK-mmeishiwa huko?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Nilikuwa najiuliza tu kama huko kwenye kisima chenu cha wateuliwa mmeishiwa wateule? Au ndiyo kujipanga vya eneo la 12 ili goli la mkono wa Mungu mtufunge?

Kama mmeishiwa na sasa mmebakia kuzungushana kama wachezao karata tatu basi muite wawekezaji. Si ulisema bila ya wawekezaji taifa haliwezi kuendelea? Sasa kwa kuteuana kwenu kutoka kwenye kisima kilichoishiwa unafikiri tutaendelea. Au ndio tumeishiwa uongozi?
 
it is obvious kuwa choice za JK ziko narrow sana ,is as good as kuishiwa watu wa kuteuwa na kuongoza nchi...
 
Mkuu Mwkjj. The Man is dissatisfied with himself,what can he do?????
 
Sijakupata vizuri I guess, ingawa baadhi ya wateule wa mkuu majina yao ni mapya mapya kwetu sisi nje ya ulingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…