Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nilikuwa najiuliza tu kama huko kwenye kisima chenu cha wateuliwa mmeishiwa wateule? Au ndiyo kujipanga vya eneo la 12 ili goli la mkono wa Mungu mtufunge?
Kama mmeishiwa na sasa mmebakia kuzungushana kama wachezao karata tatu basi muite wawekezaji. Si ulisema bila ya wawekezaji taifa haliwezi kuendelea? Sasa kwa kuteuana kwenu kutoka kwenye kisima kilichoishiwa unafikiri tutaendelea. Au ndio tumeishiwa uongozi?