Mimi nasupport Nyerere. Namheshimu mwalimu wetu wa Africalet's compare and analyse their success and failures in leadership (economically,politically and socially).
nyerere
jomo kenyatta.
Bila shaka. Kwanza, aliangamiza ukabila hapo Tanzania ilhali ukabila inatusumbua sana huku Kenya. Pili, naamini system ya ujamaa pamoja na mapungufu yake yote iliwasaidia Tanzania isiwe corrupt kama Kenya Kwani katika ujamaa system mlifunzwa kusaidiana baina yenu na kutoibiana. Hakuna mtu angelala njaa T.Z kwa sababu ya ujamaa ilhali huku Kenya mtu anaweza lala njaa.unaweza kutufafanulia yale ambayo yanafanya um-support?.
And here is my top 5 African greatest Leaders of all time.
1.Julius Nyerere
2.Nelson Mandela
3.Kwame Nkrumah
4.Haile Salassie
5. Muamar Gadaffi.
actually, hakuna kitu hapa...mandela was the best...nyerere left his country an ldc with his stupid ujamaa system...KENYATTA stole money and land to enrich his family and tribe...both are useless...Mandela made his country the richest country in Africa and fought off white supremacy
So now Mandela turned boers.?actually, hakuna kitu hapa...mandela was the best...nyerere left his country an ldc with his stupid ujamaa system...KENYATTA stole money and land to enrich his family and tribe...both are useless...Mandela made his country the richest country in Africa and fought off white supremacy
asante kwa maoni yako.Waacheni wazee wetu wapumzike kwa amani. Kila mmoja wao alitoa mchango wake kwa maendeleo ya nchi yake kwa kadiri walivyojaaliwa na Mwenye Enzi Mungu. Nani kafanya vizuri zaidi ya mwingine hayo ni majungu. Fanyeni kazi acheni fitina.
thanks for your opinion....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sasa tumeanza kubishana kuhusu wendazao, watu ambao walikuwa wamejawa na ushamba mwingi sana. Let the dead worry about the dead. We should be progressive enough to worry about what legacy we will leave behind for the unborn in our motherland.
Tanzania tuliachiwa viwanda vingapi ambavyo serikali ya Nyerere iliviua na baadae baada ya kufa tukaja kuvibinafsisha?
And here is my top 5 African greatest Leaders of all time.
1.Julius Nyerere
2.Nelson Mandela
3.Kwame Nkrumah
4.Haile Salassie
5. Muamar Gadaffi.
Nyerere was for Africa while Kenyatta was for Kenya.
actually, hakuna kitu hapa...mandela was the best...nyerere left his country an ldc with his stupid ujamaa system...KENYATTA stole money and land to enrich his family and tribe...both are useless...Mandela made his country the richest country in Africa and fought off white supremacy
can you remind me the indepedence day of such country called S.Africa corresponding to Tanzania and Kenya as wellactually, hakuna kitu hapa...mandela was the best...nyerere left his country an ldc with his stupid ujamaa system...KENYATTA stole money and land to enrich his family and tribe...both are useless...Mandela made his country the richest country in Africa and fought off white supremacy