Comparative analysis: Jomo Kenyatta vs Julius Nyerere

Comparative analysis: Jomo Kenyatta vs Julius Nyerere

GlaringBetterEmu-size_restricted.gif

Napita tuu...
karibu tena.
 
Nyerere ni ligi nyingine jombaa...!!!ebu mfuatilie vizuri umuelewe huyo jamaa!!
 
unaweza kutufafanulia yale ambayo yanafanya um-support?.
Bila shaka. Kwanza, aliangamiza ukabila hapo Tanzania ilhali ukabila inatusumbua sana huku Kenya. Pili, naamini system ya ujamaa pamoja na mapungufu yake yote iliwasaidia Tanzania isiwe corrupt kama Kenya Kwani katika ujamaa system mlifunzwa kusaidiana baina yenu na kutoibiana. Hakuna mtu angelala njaa T.Z kwa sababu ya ujamaa ilhali huku Kenya mtu anaweza lala njaa.
Tatu, Alipeana mamlaka bila kushurutishwa na yeyote. Hapa Afrika ni hulka rais kufia mamlakani au kutolewa kwa mtutu wa bunduki.
Nne, Alitoka mamlakani bila utajiri wa kufa mtu. Hapa Kenya 'The Kenyatta family' ndio moja baina ya familia inayoutajiri mwingi.
Ya tano na mwisho (ningeendelea zaidi lakini hio itakuwa ni kana kwamba nachapisha kitabu.) Alilipenda Kiswahili sana. Mimi napenda kiswahili hata kama kiswahili changu ni kibovu. Alitafsiri kitabu cha Julius Kaisari ya William Shakespeare. Yeye kupenda lugha yake ya Kiswahili badala ya Kizungu ,pamoja na yote niliyoandika ni ishara kuwa yeye anacheza ligi ya Mahatma Ghandhi, Nelson Mandela na Wengine. Hakuna kiongozi aliyekamili na Mwalimu alikuwa na mapungufu yake lakini unaweza mlinganisha na Mandela au Kwame Nkruma hapa Afrika. Mimi bado napenda Kenya sana (kushinda Tanzania au nchi yoyote Ile) lakini ukweli naupenda zaidi.
 
Waacheni wazee wetu wapumzike kwa amani. Kila mmoja wao alitoa mchango wake kwa maendeleo ya nchi yake kwa kadiri walivyojaaliwa na Mwenye Enzi Mungu. Nani kafanya vizuri zaidi ya mwingine hayo ni majungu. Fanyeni kazi acheni fitina.
 
actually, hakuna kitu hapa...mandela was the best...nyerere left his country an ldc with his stupid ujamaa system...KENYATTA stole money and land to enrich his family and tribe...both are useless...Mandela made his country the richest country in Africa and fought off white supremacy

U don’t say
 
So now Mandela turned boers.?
 
Kitu wakenya wanatakiwa kumchukia KENYATTA ni kitendo cha kukataa idea ya NYERERE ya kuunganisha nchi za Africa mashariki Tanzania Kenya na Uganda kuwa nchi moja, NYERERE alimwambia KENYATTA yupo tayari ampe ridhaa ya kuwa Rais WA East Africa yeye hatogombea ili KENYATTA awe rais

Aina ya muungano WA kipindi hicho sio hii East African community tuliyonayo leo ule muungano ulikua wa kila kitu maana yake wakenya wangeweza kuingia Tanzania bila shida yoyote wangemiliki ardhi na kila kitu wa Tanzania hivyo hivyo kwa upande WA Kenya.

Ingekua mimi ni KENYATTA ningekubali saa hiyo hiyo sababu Kenya ndio masikini wa kutupwa wa rasilimali ukanda huu 20% ya ardhi yao ndio hufaa kwa kilimo huko kwingine ni njaa tupu maana yake wakenya ndio wangefaidika zaidi kwa kushare rasilimali lukuki za Tanzania kwa gharama za wa Tanzania wenyewe.

Ila kama hili lingewezekana ningemchukia NYERERE maisha yangu yote he was thinking everyone was an angel like him thanks to KENYATTA he quenched the deal.
 
Sasa tumeanza kubishana kuhusu wendazao, watu ambao walikuwa wamejawa na ushamba mwingi sana. Let the dead worry about the dead. We should be progressive enough to worry about what legacy we will leave behind for the unborn in our motherland.
 
Waacheni wazee wetu wapumzike kwa amani. Kila mmoja wao alitoa mchango wake kwa maendeleo ya nchi yake kwa kadiri walivyojaaliwa na Mwenye Enzi Mungu. Nani kafanya vizuri zaidi ya mwingine hayo ni majungu. Fanyeni kazi acheni fitina.
asante kwa maoni yako.
 
Sasa tumeanza kubishana kuhusu wendazao, watu ambao walikuwa wamejawa na ushamba mwingi sana. Let the dead worry about the dead. We should be progressive enough to worry about what legacy we will leave behind for the unborn in our motherland.
thanks for your opinion....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Tanzania tuliachiwa viwanda vingapi ambavyo serikali ya Nyerere iliviua na baadae baada ya kufa tukaja kuvibinafsisha?

serikali ya Nyerere haikuua viwanda. fanya utafiti kidogo ujue awamu ipi Tanzania iliwahi kuwa nchi ya viwanda na iwamu ipi iliviua na kuuza kwa bei ya kutupwa.
 
actually, hakuna kitu hapa...mandela was the best...nyerere left his country an ldc with his stupid ujamaa system...KENYATTA stole money and land to enrich his family and tribe...both are useless...Mandela made his country the richest country in Africa and fought off white supremacy

wewe SASA ndiyo hujui. how NM made his country rich? do you know how majority Africans languishing in the poverty? do yo know what's black economic freedom charter?
 
Nyerere alikuwa mjanja mjanja,Convincing power,alifanikiwa kuleta mshikamano kati ya watanzania wenye tamaduni tofauti.

Lakini kenyata alimpiga bao sehemu moja tu.Nyerere alifanya miscalculation in adopting socialism ambayo ilikufa ndani ya mda mfupi sana.Though ilipunguza gap kati ya maskini na matajiri Tanzania, the circumstance that still prevails in Tanzania up to date to some extent.

Japo sikumuona nyerere nimezaliwa enzi za mkapa ila ndio nilichokiona asanteni.
 
actually, hakuna kitu hapa...mandela was the best...nyerere left his country an ldc with his stupid ujamaa system...KENYATTA stole money and land to enrich his family and tribe...both are useless...Mandela made his country the richest country in Africa and fought off white supremacy
can you remind me the indepedence day of such country called S.Africa corresponding to Tanzania and Kenya as well
 
Back
Top Bottom