Comparative analysis: Jomo Kenyatta vs Julius Nyerere

Duh!! basi wewe ni mdogo sana. Yaani umezaliwa miaka ya 95s. Inatakiwa niitwe mhenga sasa.
 
mzee wangu Mohamed Said na kijana mwenzangu Yericko Nyerere si vibaya tukipata maoni yenu kuhusu mada iliyopo mezani.

nyinyi ni watu muhimu sana kwenye topic kama hizi.
karibuni.
 
Fought white supremacy, lol
 
Nyerere no tribalism kenyata tribalism
Nyereres party never loose election kenyata patry loosed
 
mandela was the best leader....period...Tanzania na Kenya ni nchi maskini leo...ni nini Kenyatta na Nyerere walichofanya kuzuia hili? ila Mandela aliweka foundation ya ufanisi...ndio maana SA ni nchi ilio na mandeleo kabisa Africa...In his funeral, 3 american presidents and an army of other world leaders came to bid him farewell...i think that shows how great he was...ila nyerere pia nampa marks kwa kuunganisha watanzania....Kenyatta simpi chochote...huyo alikuwa ni jamaa mpumbavu mkubwa kabisa duniani...namfananisha kenyatta na Idi Amin, Mugabe, Omar Bongo, Museveni, etc
 
Nyerere sio we level ya kenyata

Siad baree wa somalia alimtoa makamasi kenyata na wakenya kwa ujumla

Nyerere na Mahtan Ghandi sawa
 
Mandela made his country the richest country in Africa and fought off white supremacy

Why do we engage with some silly Kenyans who dont even incorporate their brain? Is this guy normal or mentally ill? Mandela made his country what?? Mandela was the president of SA for 5yrs only and SA economy was built by whites. let me leave it at that.
 
Kumbe wewe tansoma ni walalo umejificha jamiiforums!
Hehehe eti walalo, wanapenda sana kuitana wariaah! Nilifanya kazi kwa hawa jamaa kule vijijini kabisa, Modogashe, Wajir County. Baada ya hapo niliwaheshimu sana, hawa jamaa huwa wanajitambua sana.
 
Ubest wa Mandela unatokana na nyerere na mikakati ya ukombozi,mandela amefanya nini zaidi ya nchi yake,wakati nyerere ni kwa Africa nzima,(ni kidokezo tu)
 
Nyerere size zake ni great leaders na philosopher waliowahi kuishi duniani , Sio size ya Kenyatta wala Mandela ,

Mandela ni western propaganda , ili kufuta ukweli ,Mandela alikuwa puppet Wa western countries

Niwape Kisa kimoja

Kulikuwa na Mkutano flani Wa UN pale USA ,

Wakati Wa kuzungumza na several interview alizofanya nyerere na waandishi Wa habari Wa kigeni ,

Wakati waandishi tuko kwenye mapumziko ,Tukiwa tunabadilishana mawazo ,

Kuna waandishi Wa ulaya na USA walisema nanukuu *Nyerere is a Charismatic leader born in a wrong country* mwisho Wa kunukuu

Hivyo ,hata wazungu wanajua nyerere alivyokuwa sio hao takataka wenu mnaotaka kumlinganisha Naye

Rest in Peace ,the true son of Africa , Saint in advance , Late Julius Kambarage Burito Nyerere
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Duuuu hii ndo elimu ya kenya ambayo ni bora EA nzima
Mnajua historia ya S.A mfundisheni huyu hajui lolote
 
Whaaat the f... we TZ we failed big time dont ever compare this stupid ujamaa which failed all over the world we are still continue failing with tjis one we have whom he is against business people he called them "mafisadi"
 
[HASHTAG]#ukwelimtupu[/HASHTAG]
plow plow plow
hawa jamaa hakuna walichofanya cha maana, Mandela aabudiwe kwa kweli
 
Suala sio utajiri,suala ni mgawanyo wa huo utajiri.Je ni wangapi wanaofaidi huo utajiri nchini SA?
 
Suala sio utajiri,suala ni mgawanyo wa huo utajiri.Je ni wangapi wanaofaidi huo utajiri nchini SA?
your question sounds very logical...let's wait for someone to come up with a logical answer.

i'm reading and observing each comment here.
 
julius nyerere the heavy weight, real recognize real...the world knows his contribution that's why many places are named after him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…