Nyerere size zake ni great leaders na philosopher waliowahi kuishi duniani , Sio size ya Kenyatta wala Mandela ,
Mandela ni western propaganda , ili kufuta ukweli ,Mandela alikuwa puppet Wa western countries
Niwape Kisa kimoja
Kulikuwa na Mkutano flani Wa UN pale USA ,
Wakati Wa kuzungumza na several interview alizofanya nyerere na waandishi Wa habari Wa kigeni ,
Wakati waandishi tuko kwenye mapumziko ,Tukiwa tunabadilishana mawazo ,
Kuna waandishi Wa ulaya na USA walisema nanukuu *Nyerere is a Charismatic leader born in a wrong country* mwisho Wa kunukuu
Hivyo ,hata wazungu wanajua nyerere alivyokuwa sio hao takataka wenu mnaotaka kumlinganisha Naye
Rest in Peace ,the true son of Africa , Saint in advance , Late Julius Kambarage Burito Nyerere