Hapo kuna mmoja alikuwa selfish sana, alichukua sehemu kubwa ya ardhi akaimilikisha familia yake "almost three-quarter of fertile land" kawaachia jangwa tu.
Napita tuu...
Nyerere still is the best kwan S.Africa mbali na uchumi imara lakin lud kwenye Amani bado watu wanauana sana still kuna mitaa ambayo ikifka join mweusi ukatizi na mingine ivoivo km ww mweupe ukatizi lakin angalia Tanzania very peaceful country vilevile nyerere alisaidia nchi nyingi za Africa kupata uhuru wake ata Mandela mwenyewe bado Nyerere aliplay part kuakikisha Mandela anauhangusha utawala wa kabulu.mandela was the best leader....period...Tanzania na Kenya ni nchi maskini leo...ni nini Kenyatta na Nyerere walichofanya kuzuia hili? ila Mandela aliweka foundation ya ufanisi...ndio maana SA ni nchi ilio na mandeleo kabisa Africa...In his funeral, 3 american presidents and an army of other world leaders came to bid him farewell...i think that shows how great he was...ila nyerere pia nampa marks kwa kuunganisha watanzania....Kenyatta simpi chochote...huyo alikuwa ni jamaa mpumbavu mkubwa kabisa duniani...namfananisha kenyatta na Idi Amin, Mugabe, Omar Bongo, Museveni, etc
Mmoja ni Africa freedom fighter huyo mwingine ni Africa freedom snitch.Nyerere na Kenyatta ni watu wawili tofauti
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Mafala Wangari Maathai ana Nobel peace prize
Nelson Mandela pia ana Nobel peace prize
Nyerere ako na nini?...nyerere ni sawa na kina kenyatta, Mugabe etc ni vile alikufa mapema
Noble prize zinatolewa na wazungu hasa kwa wale wenye interests zao unategemea Che Guevara, Mao, Castro, Lumumba, Kwame, etc wapewe tuzo na hao makaburu wakati walikua wakiua maslahi yao?
Inaonesha hujui international politics na hamjui Nyerere alikua wa aina gani, Nyerere alikua akipimana kifua na makaburu wa South Africa mpaka Tanzania ikawekewa vikwazo na South Africa, Namibia, Mozambique, Rhodesia (unajua hata Rhodesia ni nchi gani?) kipindi zipo chini ya colonial rule, sasa usitegemee hawa wazungu wangempenda Nyerere sababu Nyerere alipigana nao na akawashinda hatimae hayo mataifa yakawa huru.
mtu kuwa na nobel prize ndio kigezo cha kuwa mashuhuri?. mbona unakuwa na mitazamo ya kijinga?.Mafala Wangari Maathai ana Nobel peace prize
We nani kakuambia Makongoro haja soma angalia CV yako kisha ongeaNyerere alishindwa kusimamia wanaye ona sasa uhuru kenyata na makongoro walivyoachana kiungozi, elimu na itajiri.
Mkuu nyerere hakujali wanaye kabisaaWe nani kakuambia Makongoro haja soma angalia CV yako kisha ongea
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kikubwa ambacho Kenyata ameshindwa ni kuondoa ubaguzi wa kikabila, ukabila wa Kenya ndio uliomwaga damu sana Kenya na bado Dhambi hii inawatafuna. Kiongozi wa kwanza akishindwa kujenga umoja basi ameligawa taifa. Ni sawa na kule India ubaguzi hauwezi kuishi kwa maana kiongozi wao aliwaambia ukiona muafrika au anapigana na mhindi wewe piga muafrika bila kujali nani anakosa..!
Tukirudi kwa Nyerere, huyu mzee anastahili pongezi kwa kuondoa ubaguzi hasa ukabila nchini.. Lakini pia alipigania uhuru wa nchi nyingine Afrika ili kuhakikisha Africa nzima inakua huru ili iungane kirahisi.. Wakati Nyerere anafanya haya Kenyata yeye alikua anaangalia maslahi ya Kenya pekee.. Na mpaka sasa viongozi wa Kenya kila wanachofanya wanaangalia maslahi ya nchi yao tu, hawafai kushirikiana nao.. Ni karma inawatafuna..!
Kenyatta was an opportunist, he got married four times and one of his wives was a white lady called Edina Clark who I heard contributed a lot on Kenyatta's education abroadactually, hakuna kitu hapa...mandela was the best...nyerere left his country an ldc with his stupid ujamaa system...KENYATTA stole money and land to enrich his family and tribe...both are useless...Mandela made his country the richest country in Africa and fought off white supremacy
Nyerere na Kenyatta ni watu wawili tofaut
Jomo Kenyatta alikuwa mwana uchumi aliyebobea. Alipata shahada yake ya uchumi kutoka London School of Economics.
Katika kupigana uhuru, mzee Jomo Kenyatta alifungwa na serikali ya wakoloni tangu mwaka 1952-1959 alipoachiwa huru na kukimbilia kwenye milima ya Turkana kujificha kwa muda.
I haven't fished yet mkuuyou didn't mention the difference btn the two. but rather a briefly historical epoch of Jomo.
I haven't fished yet mkuu