Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nyerere na Kenyatta ni watu wawili tofaut
Jomo Kenyatta alikuwa mwana uchumi aliyebobea. Alipata shahada yake ya uchumi kutoka London School of Economics.
Katika kupigana uhuru, mzee Jomo Kenyatta alifungwa na serikali ya wakoloni tangu mwaka 1952-1959 alipoachiwa huru na kukimbilia kwenye milima ya Turkana kujificha kwa muda.
Nyerere alikuwa mwalimu aliyepata elimu yake chuo kikuu cha Makerere na Masters alipata Edinburgh Scotland.
Katika kupigana uhuru Nyerere hakuwahi kufungwa jela akimaliza migogoro kwa mazungumzo
Kuwa mwznauchumi kulimsaidia Kenyatta kuona kukimbiza white settlers nje ya Kenya kungevuruga uchumi cha nchi