Compare & Contrast kutekwa kwa Abdul Nondo Vs Mzee Kibao: Watekaji hawa ni Malaika, wale ni mashetani! Tuwashukuru kwa uhai wa Nondo au tuwalaani?

Unakumbuka uvamizi wa vituo vya polisi ulivyokuwa unafanyika? Baadae ikazizima kule Kibiti. Ila pia ilibidi nguvu na akili zitumike kumaliza tatizo.
Ipo siku kama yataendelea, pengine operation kama ile ikabidi kurudi
Wanatengeneza makundi wenyewe itafika wakati watu watakuwa na makundi yao ya kujilinda

Ova
 

Kitendo cha DW kumuhoji Nondo kabla ya jeshi la Polisi tayari linaweza kukupa picha kwa kile kinachoendelea. Yaani mtu anatekwa, polisi wanatoa tamko kuwa wanafanya upelelzi, mtekwaji anapatikana aliwa amejeruhiwa, anapelekwa hospital .... two days later police hawajaotkea kumhoji. Mwenye macho haambiwi TAZAMA.

Hii ya "MAAGIZO TOKA JUU" bado inaendelea kufanya kazi Tanzania.
 
Haya mambo hayapaswi kufumbiwa macho tunatakiwa kuyalaani kwa nguvu zote haiwezekani serikali ikawa inateka na kuumiza wananchi wake nashangaa viongozi wa dini wamekaa kimya tu sasa huko kwenye nyumba za Ibadan mnahubiri nini ikiwa hao waumini wenu wanatekwa, kupigwa na kuuwawa?
 
Mkuu inawezekana alikuwa amepanda naye kwenye basi. Hata wa Mzee Kibao alipokamilisha zoezi lake alishuka.
 
b
bato nyoso ba
mokili bazali bana
banzambe pona
nini tobomana??
 
Kabisa

Ova
 
Mungu wafumbue macho watekaji na waweze kubaini uovu wao na ule wa bwana zao.
 
Mkuu Pascal,
Hii post yako inasikitisha sana.

Hivi inakuwaje mwanasheria tena ambaye Unajua kinachoendelea TZ Unaweza kuandika post yako hivi?

Mnafanyia utani mauaji na utekaji. Kuna siku mtakuja kulipa huu upuuzi mnaotaka kuhamisha jamii.

Serikali ina wajibu wa kuachana na vikundi vinavyoteka na kuua raia
 
Kuna akili fulani Mungu amekujaalia naturally. Sijui kama unajijua lakini🙏
 
Mlaaniwe watekaji pamoja na mashabiki wenu.
 

P,
Watekaji ni vikosi maalumu vyenye usalama wa taifa na Polisi. Mbowe alishatoa mpaka majina na watekaji na wako wapi hakuna mtu alijojiwa wala kukana hata alio wataja sana ni cha kushangaza mpaka leo tunajisahaulisha na kuweka kama vile hawafahamiki!

Kama kweli kuna nia tuanze na hawa. Mbowe kawataja kwa majina mpaka rangi zao! eti hatuwajui unafiki na uchawa umefika pabaya. Bila kujua uchawa unaharibu nchi polepole


View: https://youtu.be/ZEAY-mxal7Q?si=kNjgbxH-r_uFmbQU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…