Compare & Contrast kutekwa kwa Abdul Nondo Vs Mzee Kibao: Watekaji hawa ni Malaika, wale ni mashetani! Tuwashukuru kwa uhai wa Nondo au tuwalaani?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Toka kutekwa kwa Adul Nondo,kiukweli nikikumbuka ya Mzee Kibao,nikawa nasali kimya kimya yasitokee kama yale

Leo baada ya kusikiliza mahojiano haya,
View: https://youtu.be/KUV7rhRzJZY?si=Q9r--39T3ecHZSXX
Ndio nimepata faraja na angalau kuweza kuandika kitu。

Kitu cha kwanza ni kuwashukuru watekaji wa Abdul Nondo,kwanza kwa kumwachia zawadi ya uhai!

Niki compare & contrast watekaji hawa wa Abdul Nondo VS wale wa Mzee Kibao, kiukweli。watekaji hawa ni kama malaika fulani,na wale watekaji wa Mzee Kibao ni ibilisi mashetani kabisa!

Japo siungi mkono utekaji wa aina yoyote,hata shetani akifanya wema ashukuriwe, hata zimwi likujualo, halikuli likakwisha, sijui ni wangapi humu walikuwa roho juu na hatima ya Nondo, waliposikia yuko hai, roho zimetulia na kusema asante Mungu.

Watekaji ni watu wabaya, ni mashetani, lakini shetani anapomkamata mtu ili anywe damu yake, anapomuachia bila kunywa damu, unamshukuru Mungu kuachiwa salama.
Tuwashukuru hawa watekaji kwa zawadi tuu ya uhai wa Addul Nondo, maana。。。Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

Walimpiga piga Nondo kwa virungu lakini hawakumtoa damu,wala kumtengua kiungo chochote!。

Walipomtupa hapo Coco beach,walimfungua kamba,na kumfungua kitambaa cha machoni,
hivyo Nondo aliweza kuamka mwenyewe,kutafuta usafiri wa boda boda na kumfikisha ofisi za ACT

Ukilinganisha na wale watekaji wengine,watekaji hawa wanapaswa kulaaniwa ama kushukuriwa?

Hii ina maana mbili
  1. Ama watekaji hawa na watekaji wale ni watekaji wawili tofauti,hawa ni malaika fulani,wale ni mashetani fulani Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
  2. Watekaji ni wale wale,mwanzo walikuwa mashetani,wakifanya ushetani sasa roho wa Mungu amewaingia, umalaika umewaingia,wanaendelea na utekaji ila hawamwagi damu, Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani? Shetani akijiunga na malaika anageuka malaika?!
  3. hivyo sasa utekaji wowote utakaendelea,utakuwa ni utekaji huu wa kimalaika
  4. Pingu ni silaha,ina serial number, ukiingiza kwenye search engine,inakuletea bar code yake,pingu hiyo iliuzwa wapi na nani aliinunua!
  5. Watekaji pia waliangusha simu,simu ina kila kitu hadi biometric data, Jeshi letu la polisi litoe full disclosure za mmiliki,call log na GPS track, kumfuatilia Abdul, hivyo kupata pa kuanzia na wahusika wote, mkiona mpaka leo polisi wako kimya sisi waelewa tumeisha elewa!
  6. Magufuli Stand ina CCTV cameras,mpaka nje,hivyo video za tukio lote zipo,
  7. Eneo lote la Coco Beach lina CCTV cameras,hivyo wataona kila kitu。
  8. Wito kwa vyama vya siasa,tupunguze sensionalism kwenye mambo ya msingi!
  9. Naendelea kusisitiza mambo haya yanachafua public image yetu,hivyo naendelea kuwasisitiza TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
  10. Media tuwe makini sana tusije kujikuta tunatumiwa bila sisi kujijua。
  11. Ule wito wangu huu Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe unaendelea!
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
 
Nikisoma michango ya watu humu, nagundua hii nchi ina mpasuko wa kisiasa kuliko nilivyokuwa nafikiri.
Vitu vinatazamwa kwa mtazamo wa kisiasa. Mkuu vipi wale waliomteka yule mama wachadema, nao hawakuwa mashetani kama wa mzee kibao kwa sababu hawakumuua?
 
FB_IMG_17308677953199315.jpg

Hii nchi yangu kila nikiitazama naiona hivi

Yaani sijui imekaakaaje
 
Kuna maswali mengi sana kuliko haya, Nondo kachubuka tu magoti na kavilia damu mabegani, wengine wameuwawa, kuvunjwa viungo, hawajulikani walipo hadi sasa na wengine wanaishi na risasi au walivunjwa mataya kwa risasi. Kweli wa zamu hii ni malaika? Na tena wamekaa naye masaa tu wakampeleka eneo ya mihogo ya kuchoma na samaki!
 
Nikisoma michango ya watu humu, nagundua hii nchi ina mpasuko wa kisiasa kuliko nilivyokuwa nafikiri.
Vitu vinatazamwa kwa mtazamo wa kisiasa. Mkuu vipi wale waliomteka yule mama wachadema, nao hawakuwa mashetani kama wa mzee kibao kwa sababu hawakumuua?
Bora umeliona hili sasa hivi wanaanza kushindanisha waliotekwa .. huyu hakutoa Damu yule alitoa Damu huyu hakufa yule alikufa .. jambo muhimu ilikua ni kuanza kuhoji safari ya Abdul Nondo kutoka kigoma Hadi Dar ni wapi aliwapa taarifa yupo Katika Gari na amefika stand ya magufuli walijuaje yupo safarini anakuja Dar. Haya mambo yangeanzia hapo kwanza ..

Haiwezekani from nowhere eti Gari ipo stand ya magufuli inamsubiria Nondo, mara tunakupiga sababu unakimdomo mdomo

Msemaji wa Kambi ya Vijana ACT wazalendo anatoka kigoma Hadi Dar kwa basi kweli?
 
Wanabodi

Toka kutekwa kwa Adul Nondo,kiukweli nikikumbuka ya Mzee Kibao,nikawa nasali kimya kimya yasitokee kama yale!。

Leo baada ya kusikiliza mahojiano haya,
View: https://youtu.be/KUV7rhRzJZY?si=Q9r--39T3ecHZSXX
Ndio nimepata faraja na angalau kuweza kuandika kitu。

Kitu cha kwanza ni kuwashukuru watekaji wa Abdul Nondo,kwanza kwa kumwachia zawadi ya uhai!

Niki compare & contrast watekaji hawa wa Abdul Nondo VS wale wa Mzee Kibao, kiukweli。watekaji hawa ni kama malaika fulani,na wale watekaji wa Mzee Kibao ni ibilisi mashetani kabisa!

Japo siungi mkono utekaji wa aina yoyote,
tuwashukuru watekaji hawa kwanza kwa zawadi tuu ya uhai wa Addul Nondo, maana。。。Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

Walimpiga piga Nondo kwa virungu lakini hawakumtoa damu,wala kumtengua kiungo chochote!。

Walipomtupa hapo Coco beach,walimfungua kamba,na kumfungua kitambaa cha machoni,
hivyo Nondo aliweza kuamka mwenyewe,kutafuta usafiri wa boda boda na kumfikisha ofisi za ACT。

Ukilinganisha na wale watekaji wengine,watekaji hawa wanapaswa kulaaniwa ama kushukuriwa?。

Hii ina maana mbili
  1. Ama watekaji hawa na watekaji wale ni watekaji wawili tofauti,hawa ni malaika fulani,wale ni mashetani fulani。
  2. Watekaji ni wale wale,mwanzo walikuwa mashetani,sasa umalaika umewaingia,hivyo sasa utekaji wowote utakaendelea,utakuwa ni utekaji huu wa kimalaika。
  3. Pingu ni silaha,ina serial number, ukiingiza kwenye search engine,inakuletea bar code yake,pingu hiyo iliuzwa wapi na nani。
  4. Watekaji pia waliangusha simu,simu, Jeshi letu la polisi litoe full disclosure za mmiliki, hivyo kupata pa kuanzia
  5. Magufuli Stand ina CCTV cameras,mpaka nje,hivyo video za tukio lote zipo,
  6. Eneo lote la Coco Beach lina CCTV cameras,hivyo wataona kila kitu。
  7. Wito kwa vyama vya siasa,tupunguze sensionalism kwenye mambo ya msingi!
  8. Naendelea kusisitiza mambo haya yana chafua public image yetu,hivyo naendelea kuwasisitiza TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
  9. Media tuwe makini sana tusije kujikuta tunatumiwa bila sisi kujijua。
  10. Ule wito wangu huu Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe unaendelea!
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Kuna mtekaji malaika? No matter what

Hakuna mtekaji malaika. Captors are devils who should be killed
 
Kwenye haya mahojiano ya DW - hii siamini Kama ni genuine
 
Wanabodi

Toka kutekwa kwa Adul Nondo,kiukweli nikikumbuka ya Mzee Kibao,nikawa nasali kimya kimya yasitokee kama yale!。

Leo baada ya kusikiliza mahojiano haya,
View: https://youtu.be/KUV7rhRzJZY?si=Q9r--39T3ecHZSXX
Ndio nimepata faraja na angalau kuweza kuandika kitu。

Kitu cha kwanza ni kuwashukuru watekaji wa Abdul Nondo,kwanza kwa kumwachia zawadi ya uhai!

Niki compare & contrast watekaji hawa wa Abdul Nondo VS wale wa Mzee Kibao, kiukweli。watekaji hawa ni kama malaika fulani,na wale watekaji wa Mzee Kibao ni ibilisi mashetani kabisa!

Japo siungi mkono utekaji wa aina yoyote,
tuwashukuru watekaji hawa kwanza kwa zawadi tuu ya uhai wa Addul Nondo, maana。。。Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

Walimpiga piga Nondo kwa virungu lakini hawakumtoa damu,wala kumtengua kiungo chochote!。

Walipomtupa hapo Coco beach,walimfungua kamba,na kumfungua kitambaa cha machoni,
hivyo Nondo aliweza kuamka mwenyewe,kutafuta usafiri wa boda boda na kumfikisha ofisi za ACT。

Ukilinganisha na wale watekaji wengine,watekaji hawa wanapaswa kulaaniwa ama kushukuriwa?。

Hii ina maana mbili
  1. Ama watekaji hawa na watekaji wale ni watekaji wawili tofauti,hawa ni malaika fulani,wale ni mashetani fulani Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
  2. Watekaji ni wale wale,mwanzo walikuwa mashetani,sasa umalaika umewaingia,hivyo sasa utekaji wowote utakaendelea,utakuwa ni utekaji huu wa kimalaika。
  3. Pingu ni silaha,ina serial number, ukiingiza kwenye search engine,inakuletea bar code yake,pingu hiyo iliuzwa wapi na nani aliinunua!

Wewe ni kichaaaa, kuna utekaji wa afandhali!!!!!!!!!!!! Hivi wewe nasikia una LLM ya Dar, hivi hiki chuo kina zalisha nini?
 
Watekaji nao ni wananchi na wana haki ya kufanya shughuli zao pasipo kusumbuliwa.
 
Media tuwe makini sana tusije kujikuta tunatumiwa bila sisi kujua
 
Serikali ya Burundi ikubali tu hadharani ya kwamba inahusika na hivi vitendo kupitia vyombo vyake vya ulinzi. Kwa sababu mtu baki tu asingeweza kuteka na kuua watu, halafu asikamatwe.
Na lengo kuu ni kutaka tu kuwajengea watu hofu ili waogope kushiriki kwenye siasa za upinzani, jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
 
Wote hawo ni ccm wa kishirikiana na vyombo vya dola na nyinyi wafuasi mkiwa nyuma yao. Siasa za kishamba badala ya kutumia sera zenu mnazoziona na kukubalika mnaunajis uchaguzi kwa kuwatumia policcm kwa kuwakamata wagombea wa upinzani na kuwaua. Laana ya Mungu iwashukie.
 
Wanabodi

Toka kutekwa kwa Adul Nondo,kiukweli nikikumbuka ya Mzee Kibao,nikawa nasali kimya kimya yasitokee kama yale!。

Leo baada ya kusikiliza mahojiano haya,
View: https://youtu.be/KUV7rhRzJZY?si=Q9r--39T3ecHZSXX
Ndio nimepata faraja na angalau kuweza kuandika kitu。

Kitu cha kwanza ni kuwashukuru watekaji wa Abdul Nondo,kwanza kwa kumwachia zawadi ya uhai!

Niki compare & contrast watekaji hawa wa Abdul Nondo VS wale wa Mzee Kibao, kiukweli。watekaji hawa ni kama malaika fulani,na wale watekaji wa Mzee Kibao ni ibilisi mashetani kabisa!

Japo siungi mkono utekaji wa aina yoyote,
tuwashukuru watekaji hawa kwanza kwa zawadi tuu ya uhai wa Addul Nondo, maana。。。Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

Walimpiga piga Nondo kwa virungu lakini hawakumtoa damu,wala kumtengua kiungo chochote!。

Walipomtupa hapo Coco beach,walimfungua kamba,na kumfungua kitambaa cha machoni,
hivyo Nondo aliweza kuamka mwenyewe,kutafuta usafiri wa boda boda na kumfikisha ofisi za ACT。

Ukilinganisha na wale watekaji wengine,watekaji hawa wanapaswa kulaaniwa ama kushukuriwa?。

Hii ina maana mbili
  1. Ama watekaji hawa na watekaji wale ni watekaji wawili tofauti,hawa ni malaika fulani,wale ni mashetani fulani Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
  2. Watekaji ni wale wale,mwanzo walikuwa mashetani,sasa umalaika umewaingia,hivyo sasa utekaji wowote utakaendelea,utakuwa ni utekaji huu wa kimalaika。
  3. Pingu ni silaha,ina serial number, ukiingiza kwenye search engine,inakuletea bar code yake,pingu hiyo iliuzwa wapi na nani aliinunua!
  4. Watekaji pia waliangusha simu,simu, Jeshi letu la polisi litoe full disclosure za mmiliki, hivyo kupata pa kuanzia
  5. Magufuli Stand ina CCTV cameras,mpaka nje,hivyo video za tukio lote zipo,
  6. Eneo lote la Coco Beach lina CCTV cameras,hivyo wataona kila kitu。
  7. Wito kwa vyama vya siasa,tupunguze sensionalism kwenye mambo ya msingi!
  8. Naendelea kusisitiza mambo haya yana chafua public image yetu,hivyo naendelea kuwasisitiza TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
  9. Media tuwe makini sana tusije kujikuta tunatumiwa bila sisi kujijua。
  10. Ule wito wangu huu Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe unaendelea!
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Nakuunga mkono hapa
  • 9. Mediatuwe makini sana tusije kujikuta tunatumiwa bila sisi kujijua。
 
Hivi nani ananufaika na huu utekaji? Na kwanini unafanyika mchana kweupe bila vyombo husika kuwakamata watekaji?
Inawezekana ni majini hayaonekani. Yanapewa training huko kuzimu.
Hii inanikumbusha miaka ile ambayo utekaji/uuaji wa polisi vituoni na sehemu nyingine za kazi ulivyokuwa unafanyika. IYale yakazaa Kibiti, ambayo ilizimwa kwa nguvu zote baada ya utawala kubadilika
 
Back
Top Bottom