Compare & Contrast kutekwa kwa Abdul Nondo Vs Mzee Kibao: Watekaji hawa ni Malaika, wale ni mashetani! Tuwashukuru kwa uhai wa Nondo au tuwalaani?

Kitendo cha DW kumuhoji Nondo kabla ya jeshi la Polisi tayari linaweza kukupa picha kwa kile kinachoendelea. Yaani mtu anatekwa, polisi wanatoa tamko kuwa wanafanya upelelzi, mtekwaji anapatikana aliwa amejeruhiwa, anapelekwa hospital .... two days later police hawajaotkea kumhoji. Mwenye macho haambiwi TAZAMA.

Hii ya "MAAGIZO TOKA JUU" bado inaendelea kufanya kazi Tanzania.

..hata Tundu Lissu hajahojiwa mpaka leo miaka 7 tangu ashambuliwe.

..Sativa aliyetekwa na kupigwa risasi na Amiri Jeshi Mkuu akachangia matibabu yake naye hapewi ushirikiano na Polisi.

..Mazingira haya yanaleta hisia kwamba genge la watekaji linawashinikiza Polisi wasichunguze, au wasitoe ushirikiano kwa wahanga wa utekaji.
 
Wanabodi,

Toka kutekwa kwa Adul Nondo,kiukweli nikikumbuka ya Mzee Kibao,nikawa nasali kimya kimya yasitokee kama yale

Leo baada ya kusikiliza mahojiano haya,
View: https://youtu.be/KUV7rhRzJZY?si=Q9r--39T3ecHZSXX
Ndio nimepata faraja na angalau kuweza kuandika kitu。

Kitu cha kwanza ni kuwashukuru watekaji wa Abdul Nondo,kwanza kwa kumwachia zawadi ya uhai!

Niki compare & contrast watekaji hawa wa Abdul Nondo VS wale wa Mzee Kibao, kiukweli。watekaji hawa ni kama malaika fulani,na wale watekaji wa Mzee Kibao ni ibilisi mashetani kabisa!

Japo siungi mkono utekaji wa aina yoyote,hata shetani akifanya wema ashukuriwe, hata zimwi likujualo, halikuli likakwisha, sijui ni wangapi humu walikuwa roho juu na hatima ya Nondo, waliposikia yuko hai, roho zimetulia na kusema asante Mungu.

Watekaji ni watu wabaya, ni mashetani, lakini shetani anapomkamata mtu ili anywe damu yake, anapomuachia bila kunywa damu, unamshukuru Mungu kuachiwa salama.
Tuwashukuru hawa watekaji kwa zawadi tuu ya uhai wa Addul Nondo, maana。。。Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

Walimpiga piga Nondo kwa virungu lakini hawakumtoa damu,wala kumtengua kiungo chochote!。

Walipomtupa hapo Coco beach,walimfungua kamba,na kumfungua kitambaa cha machoni,
hivyo Nondo aliweza kuamka mwenyewe,kutafuta usafiri wa boda boda na kumfikisha ofisi za ACT

Ukilinganisha na wale watekaji wengine,watekaji hawa wanapaswa kulaaniwa ama kushukuriwa?

Hii ina maana mbili
  1. Ama watekaji hawa na watekaji wale ni watekaji wawili tofauti,hawa ni malaika fulani,wale ni mashetani fulani Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
  2. Watekaji ni wale wale,mwanzo walikuwa mashetani,wakifanya ushetani sasa roho wa Mungu amewaingia, umalaika umewaingia,wanaendelea na utekaji ila hawamwagi damu, Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani? Shetani akijiunga na malaika anageuka malaika?!
  3. hivyo sasa utekaji wowote utakaendelea,utakuwa ni utekaji huu wa kimalaika
  4. Pingu ni silaha,ina serial number, ukiingiza kwenye search engine,inakuletea bar code yake,pingu hiyo iliuzwa wapi na nani aliinunua!
  5. Watekaji pia waliangusha simu,simu ina kila kitu hadi biometric data, Jeshi letu la polisi litoe full disclosure za mmiliki,call log na GPS track, kumfuatilia Abdul, hivyo kupata pa kuanzia na wahusika wote, mkiona mpaka leo polisi wako kimya sisi waelewa tumeisha elewa!
  6. Magufuli Stand ina CCTV cameras,mpaka nje,hivyo video za tukio lote zipo,
  7. Eneo lote la Coco Beach lina CCTV cameras,hivyo wataona kila kitu。
  8. Wito kwa vyama vya siasa,tupunguze sensionalism kwenye mambo ya msingi!
  9. Naendelea kusisitiza mambo haya yanachafua public image yetu,hivyo naendelea kuwasisitiza TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
  10. Media tuwe makini sana tusije kujikuta tunatumiwa bila sisi kujijua。
  11. Ule wito wangu huu Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe unaendelea!
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Picha zinaonyesha amefungwa PoP kwa hiyo walimvunja mfupa wa mguu Paskali
 
Pascal Mayalla haya matokeo yanayotokea ni sawa na visa vilivyokuwa vinatokea south Africa kipindi chakupigania haki na kudai uhuru, kuna watu, ndugu na marafiki walipoteza maisha ili kizazi cha sasa kiishi katika maisha ya utawala wa sheria ulivyo sasa...
 
Hili la nondo ni igizo au.drama mkulu.anasemaga vijidrama tuu. Watu.waliotekwa ni akina soka. Marehemu Ally Kibao
 
Hivi nani ananufaika na huu utekaji? Na kwanini unafanyika mchana kweupe bila vyombo husika kuwakamata watekaji?
Inawezekana ni majini hayaonekani. Yanapewa training huko kuzimu.
Hii inanikumbusha miaka ile ambayo utekaji/uuaji wa polisi vituoni na sehemu nyingine za kazi ulivyokuwa unafanyika. IYale yakazaa Kibiti, ambayo ilizimwa kwa nguvu zote baada ya utawala kubadilika
mnufaika mkubwa ni waendesha dola kwa lengo lao maalum. Kuelekeza/kushape siasa ya vyama vingi iweje.....
 
Back
Top Bottom