Nani kakuwambia analingia? Hapo naonesha ni namna gani mlivo weak katika development za website zenu za serikali. Najua wewe ni mtaalam wa IT umenielewa. Unatakiwa ukubali kwamba hapo tumewapiga bao sana tu.Sasa unaclick Control+U then unapata code ...hiyo ndio unaringia
Haha cha maana ni services zinapatikana kwa portal ya serikali... Compare services zinapatikana juu cha muhimu ni services kwa wananchiNani kakuwambia analingia? Hapo naonesha ni namna gani mlivo weak katika development za website zenu za serikali. Najua wewe ni mtaalam wa IT umenielewa. Unatakiwa ukubali kwamba hapo tumewapiga bao sana tu.
Website zetu zote za serikali zinakuwa managed na wakala wa Serikali wa mitandao.
Hebu tembelea hapa ujifunze:
Wakala ya Serikali Mtandao.
Tazanama muundo wa uongozi
Kama unataka hivyo twende taratubu taratibu kuhusu Portal ya serikali ya kenya na Portal ya serikali ya Tanzania.Haha cha maana ni services zinapatikana kwa portal ya serikali... Compare services zinapatikana juu cha muhimu ni services kwa wananchi
Tafuta portal ya Malawi ama Burundi mkabishane nao.Kama unataka hivyo twende taratubu taratibu kuhusu Portal ya serikali ya kenya na Portal ya serikali ya Tanzania.
Tuangalia mambo yafuatayo:-
1. Namna ya website ilivyo harata kufunguka
2. Urahisi wa kupata taarifa.
3. Services zinazopatikana
4. Security of website
Wewe ongelea negative kuhusu portal ya Tanzania na mimi nitaongelea Negative kuhusu portal ya Kenya.
Vilevile Ongelea positive za Portal ya Kenya na mimi nitaongelea Positive za portal ya Tanzania.
Tuanze kazi.
Naanza na Negatives zenu:
Portal ya Kenya ni slow sana kufunguka. wakati Portal ya Tanzania iko fast.
hasira hasara.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu ni Uzi wa kipuzi sana, but as long as its Kenya vs Tanzania...watanzania watajaa humu to prove they are not inferior.
Nawaona wanajaribu. Nawasubiri tu niwaumbue.annael naona unacheza vizuri kwenye eneo lako ulilobobea...hapa si collo wala jay watatia mguu.hawapawezi.wapapitia kwa mbali huku wamekodoa mimacho kodoooo.[emoji23] [emoji23]
Na Ulionea wapi ama uliitafuta just to confirm Barbarosa's earlier Historic post?Povu. Maana portal ya kenya mbovu mbovu haijawahi tokea duniani.
Hahahaha! naona povu linazidi kuonekana. Hapa tunaongea kwa facts. I true websites za kenya ni za ovyo ovyo kabisa. Wewe jaribu kutembelea website za serikali Tanzania.Na Ulionea wapi ama uliitafuta just to confirm Barbarosa's earlier Historic post?
Asanti kwa kufungu Website ya Kenya.Hahahaha! naona povu linazidi kuonekana. Hapa tunaongea kwa facts. I true websites za kenya ni za ovyo ovyo kabisa. Wewe jaribu kutembelea website za serikali Tanzania.
I hate WordPressNgoja tuweke hapa jinsi website ya Kenya ilivyo.
1. Imetengenzwa kwa kutumia wordpress. Hapa maana yake aliyetenegenza hajafanya kazi yoyote kachukua template tu na kuingiza taarifa zake.
Ushahidi huu hapa:
Hapo utaona "https://stats.wp.com/e-201748.js" Ambayo ni ya wordpress.HTML:<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/plugins/contact-form-7/includes/js/scripts.js?ver=4.9'></script> <script type='text/javascript' src='https://s0.wp.com/wp-content/js/devicepx-jetpack.js?ver=201748'></script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/imagesloaded.pkgd.min.js?ver=1.1'></script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/owl.carousel.min.js?ver=1.1'></script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/affix.js?ver=1.1'></script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/jquery.matchHeight.js?ver=1.1'></script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/jquery.fitvids.js?ver=1.1'></script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/jquery.sidr.min.js?ver=1.1'></script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/jquery.magnific-popup.min.js?ver=1.1'></script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-includes/js/comment-reply.min.js?ver=80241211f3be9f9f06e2605f5a9166d3'></script> <script type='text/javascript'> /* <![CDATA[ */ var vce_js_settings = {"sticky_header":"1","sticky_header_offset":"700","sticky_header_logo":"http:\/\/10.111.100.203\/www.mygov.go.ke\/wp-content\/uploads\/2015\/03\/logo.png","rtl_mode":"0","ajax_url":"http:\/\/www.mygov.go.ke\/wp-admin\/admin-ajax.php"}; /* ]]> */ </script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/custom.js?ver=1.1'></script> <script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-includes/js/wp-embed.min.js?ver=80241211f3be9f9f06e2605f5a9166d3'></script> <!-- BEGIN GADWP v5.1.1.3 Universal Analytics - https://deconf.com/google-analytics-dashboard-wordpress/ --> <script> (function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-60331896-1', 'auto'); ga('send', 'pageview'); </script> <!-- END GADWP Universal Analytics --> <script type='text/javascript' src='https://stats.wp.com/e-201748.js' async defer></script> <script type='text/javascript'> _stq = window._stq || []; _stq.push([ 'view', {v:'ext',j:'1:5.3',blog:'87117053',post:'431',tz:'3',srv:'www.mygov.go.ke'} ]); _stq.push([ 'clickTrackerInit', '87117053', '431' ]); </script>
Na unaambiwa hiyo ni website ya serikali.
Website za bongo bado jauDesigners wa tanzania watakuwa wanalipwa mabilioni sio kwa kusimamisha websites Kali kiasi hicho
Hivi MK254 hajauona huu uzi? Huyu ndo IT personnel wa wakenya wote humu!
Well said. WordPress is among few best CMS in the world..Asante kwa kuniita huku lakini mada kama hizi itakua vigumu sana kuzijadili maana wachache watakua na uelewa wa nini kinajadiliwa, halafu pia kila mtu anachomekea na kujiita mtaalam. Hebu ona kama huyo Annael eti anaponda kisa website inatumia Wordpress.
Mwisho wa siku cha msingi huwa jinsi unavyotengeneza website yako na kuilinda, haijalishi hata kama umeitengeza from scratch au umetumia framework yoyote, na kingine hiyo Wordpress inatumiwa na mashirika ya kutajika kama vile BBC America, Microsoft news n.k. Haya ni mashirika ambayo huwa makini sana kwa kila aina ya teknolojia wanayotumia, hawana Uswahili mwingi na uzembe kwenye maamuzi.
40+ Most Notable Big Name Brands that are Using WordPress
Kuna hata serikali kama vile ya Uingereza wanaotumia Wordpress UK Government Website uses WordPress | Roger Steer
Halafu nikiamua kupoteza wangu niidadavue kitaalam hiyo mnayoisifia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais nitatiririka na mambo mengi tu.
Nimeangalia kwa haraka tu na kuona machache yanayohusiana na performance bado hata sijawaza kuangalia design, na security na mengine.
Haya tu baadhi ya performance issues
Images hazijawa scaled, unakuta zingine ni 2mb
Hawajatumia gzip compression, wamejaza file za scripts na CSS kiholela, na hawajafanya JavaScript parsing deferment
Watumie CSS sprites kufanya combination ya images
Kuna page zingine zina 404 http://ikulu.go.tz/files/gallery/videos/thumbs/IMG_8156.JPG