Comparing Government Websites of EAC

Comparing Government Websites of EAC

Sasa unaclick Control+U then unapata code ...hiyo ndio unaringia
Nani kakuwambia analingia? Hapo naonesha ni namna gani mlivo weak katika development za website zenu za serikali. Najua wewe ni mtaalam wa IT umenielewa. Unatakiwa ukubali kwamba hapo tumewapiga bao sana tu.
Website zetu zote za serikali zinakuwa managed na wakala wa Serikali wa mitandao.
Hebu tembelea hapa ujifunze:
Wakala ya Serikali Mtandao.

Tazanama muundo wa uongozi

750_600_structure_sw.jpg
 
Haha cha maana ni services zinapatikana kwa portal ya serikali... Compare services zinapatikana juu cha muhimu ni services kwa wananchi
 
Haha cha maana ni services zinapatikana kwa portal ya serikali... Compare services zinapatikana juu cha muhimu ni services kwa wananchi
Kama unataka hivyo twende taratubu taratibu kuhusu Portal ya serikali ya kenya na Portal ya serikali ya Tanzania.
Tuangalia mambo yafuatayo:-
1. Namna ya website ilivyo harata kufunguka
2. Urahisi wa kupata taarifa.
3. Services zinazopatikana
4. Security of website

Wewe ongelea negative kuhusu portal ya Tanzania na mimi nitaongelea Negative kuhusu portal ya Kenya.
Vilevile Ongelea positive za Portal ya Kenya na mimi nitaongelea Positive za portal ya Tanzania.
Tuanze kazi.
Naanza na Negatives zenu:
Portal ya Kenya ni slow sana kufunguka. wakati Portal ya Tanzania iko fast.
 
Tafuta portal ya Malawi ama Burundi mkabishane nao.
 
annael naona unacheza vizuri kwenye eneo lako ulilobobea...hapa si collo wala jay watatia mguu.hawapawezi.wapapitia kwa mbali huku wamekodoa mimacho kodoooo.[emoji23] [emoji23]
 
Huu ni Uzi wa kipuzi sana, but as long as its Kenya vs Tanzania...watanzania watajaa humu to prove they are not inferior.
hasira hasara.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
annael naona unacheza vizuri kwenye eneo lako ulilobobea...hapa si collo wala jay watatia mguu.hawapawezi.wapapitia kwa mbali huku wamekodoa mimacho kodoooo.[emoji23] [emoji23]
Nawaona wanajaribu. Nawasubiri tu niwaumbue.
Ila EGA wamenifurahisha sana. Wamewapiga gap kubwa sana wakenya kwa kutengeneza Websites.
Websites zote za serikali za kenya zimetengenezwa kwa kutumia templates za free. Huku ndani kuna plugins kibao. Yaani kwa upande wa serikali website in kuwa hapo salama.
 
Na Ulionea wapi ama uliitafuta just to confirm Barbarosa's earlier Historic post?
Hahahaha! naona povu linazidi kuonekana. Hapa tunaongea kwa facts. I true websites za kenya ni za ovyo ovyo kabisa. Wewe jaribu kutembelea website za serikali Tanzania.
 
Hahahaha! naona povu linazidi kuonekana. Hapa tunaongea kwa facts. I true websites za kenya ni za ovyo ovyo kabisa. Wewe jaribu kutembelea website za serikali Tanzania.
Asanti kwa kufungu Website ya Kenya.
 
Ngoja tuweke hapa jinsi website ya Kenya ilivyo.
1. Imetengenzwa kwa kutumia wordpress. Hapa maana yake aliyetenegenza hajafanya kazi yoyote kachukua template tu na kuingiza taarifa zake.
Ushahidi huu hapa:
HTML:
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/plugins/contact-form-7/includes/js/scripts.js?ver=4.9'></script>
<script type='text/javascript' src='https://s0.wp.com/wp-content/js/devicepx-jetpack.js?ver=201748'></script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/imagesloaded.pkgd.min.js?ver=1.1'></script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/owl.carousel.min.js?ver=1.1'></script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/affix.js?ver=1.1'></script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/jquery.matchHeight.js?ver=1.1'></script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/jquery.fitvids.js?ver=1.1'></script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/jquery.sidr.min.js?ver=1.1'></script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/jquery.magnific-popup.min.js?ver=1.1'></script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-includes/js/comment-reply.min.js?ver=80241211f3be9f9f06e2605f5a9166d3'></script>
<script type='text/javascript'>
/* <![CDATA[ */
var vce_js_settings = {"sticky_header":"1","sticky_header_offset":"700","sticky_header_logo":"http:\/\/10.111.100.203\/www.mygov.go.ke\/wp-content\/uploads\/2015\/03\/logo.png","rtl_mode":"0","ajax_url":"http:\/\/www.mygov.go.ke\/wp-admin\/admin-ajax.php"};
/* ]]> */
</script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-content/themes/voice/js/custom.js?ver=1.1'></script>
<script type='text/javascript' src='http://www.mygov.go.ke/wp-includes/js/wp-embed.min.js?ver=80241211f3be9f9f06e2605f5a9166d3'></script>
<!-- BEGIN GADWP v5.1.1.3 Universal Analytics - https://deconf.com/google-analytics-dashboard-wordpress/ -->
<script>
(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){
    (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o),
    m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m)
})(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga');
  ga('create', 'UA-60331896-1', 'auto');
  ga('send', 'pageview');
</script>
<!-- END GADWP Universal Analytics -->
<script type='text/javascript' src='https://stats.wp.com/e-201748.js' async defer></script>
<script type='text/javascript'>
    _stq = window._stq || [];
    _stq.push([ 'view', {v:'ext',j:'1:5.3',blog:'87117053',post:'431',tz:'3',srv:'www.mygov.go.ke'} ]);
    _stq.push([ 'clickTrackerInit', '87117053', '431' ]);
</script>
Hapo utaona "https://stats.wp.com/e-201748.js" Ambayo ni ya wordpress.
Na unaambiwa hiyo ni website ya serikali.
I hate WordPress
 
Hivi MK254 hajauona huu uzi? Huyu ndo IT personnel wa wakenya wote humu!

Asante kwa kuniita huku lakini mada kama hizi itakua vigumu sana kuzijadili maana wachache watakua na uelewa wa nini kinajadiliwa, halafu pia kila mtu anachomekea na kujiita mtaalam. Hebu ona kama huyo Annael eti anaponda kisa website inatumia Wordpress.
Mwisho wa siku cha msingi huwa jinsi unavyotengeneza website yako na kuilinda, haijalishi hata kama umeitengeza from scratch au umetumia framework yoyote, na kingine hiyo Wordpress inatumiwa na mashirika ya kutajika kama vile BBC America, Microsoft news n.k. Haya ni mashirika ambayo huwa makini sana kwa kila aina ya teknolojia wanayotumia, hawana Uswahili mwingi na uzembe kwenye maamuzi.
40+ Most Notable Big Name Brands that are Using WordPress

Kuna hata serikali kama vile ya Uingereza wanaotumia Wordpress UK Government Website uses WordPress | Roger Steer

Halafu nikiamua kupoteza wangu niidadavue kitaalam hiyo mnayoisifia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais nitatiririka na mambo mengi tu.
Nimeangalia kwa haraka tu na kuona machache yanayohusiana na performance bado hata sijawaza kuangalia design, na security na mengine.

Haya tu baadhi ya performance issues
Images hazijawa scaled, unakuta zingine ni 2mb
Hawajatumia gzip compression, wamejaza file za scripts na CSS kiholela, na hawajafanya JavaScript parsing deferment
Watumie CSS sprites kufanya combination ya images
Kuna page zingine zina 404 http://ikulu.go.tz/files/gallery/videos/thumbs/IMG_8156.JPG
 
Well said. WordPress is among few best CMS in the world..
Mleta mada kawa biased sana.. Anaonyesha waz waz kabsa kuwa ni mfuasi wa mlengo fulan

I expected comparison yake ingelenga kuonyesha strength n weaknesses of both sides lkn kaonyesha waz waz kushabikia upande mmj anaotokea yeye i.e TZ

I would suggest jamaa arud upya na utafiti uliokamilika sio nusunusu
 
Na uelewa wake ni mdogo sana kwny masuala haya.
1. Anasema page zko slow, je, katumia kipimo gan? How long it takes to load the pages?
2. Matumizi ya lugha, TZA na KE official languages znavary kwa kias kikubwa sana.
3. WP ni among of the best CMS available with higher performance na security. Hivi ukihtaji kumiriki usafiri ni lazma utengeneze mwnyw wkt kuna makampun kibao yapo kwa ajili hyo? Why should you reinvent the wheel?

Tumia domain search engines kujua taarfa zaid za hzo tovuti badala ya kudonoa vtu ambvy hata wtt wdg wa nursery wanavjua.
 
BTW nakmbk tovuti nyng za gvt ya TZa zmefnyiw hacking several times due to security loop holes
 
Back
Top Bottom