Comparison between construction of Kimwarer dam and hydropower project and Nyerere dam in Rufiji Hydropower project

Dah! Hawa watu hapana. Wanatia huzuni sana. Kile kipande cha 200 km cha SGR wameshindwa kabisa kukimaliza sasa watawezaje kumaliza bwawa kubwa kama hili chini ya miaka miwili? Serikali yao iliwadanganya. Hawa Malazy kwa mbwembwe na sifa hawajambo ila kwa vitendo wapo zero.
 
44% JNHPP, what percent is Kimwarer dam?

 
The Malagarasi's 49.5 MW HP loading ($144 mln)
 
Itapatikana ziada ya umeme tunawauzia Majirani zetu
Yaani options ni nyingi mbali na EAC hata SADC pia tutawauzia maana kuna Southern Africa power pool pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…