Comparison between construction of Kimwarer dam and hydropower project and Nyerere dam in Rufiji Hydropower project

FEeBQpzWQAARBA4

Hawa wanatia huruma sana, kutaka kulazimisha kisichopo, kuchimba chimba mahandaki na kuongea ongea sana, sasa ukweli kuhusu hili bwawa umechipuka kwamba mpaka sasa limejengwa asilimia 44% na pia chini ya kiwango, ukizingatia walikua wanasema wapo karibu kuanza kulitumia, na usanii kama huu ndio umekwamisha SGR, Wabongo kwa makelele hawajambo Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere kujengwa chini ya kiwango, naomba kuuliza haya...
 
Dah! Hawa watu hapana. Wanatia huzuni sana. Kile kipande cha 200 km cha SGR wameshindwa kabisa kukimaliza sasa watawezaje kumaliza bwawa kubwa kama hili chini ya miaka miwili? Serikali yao iliwadanganya. Hawa Malazy kwa mbwembwe na sifa hawajambo ila kwa vitendo wapo zero.
 
Hawa wanatia huruma sana, kutaka kulazimisha kisichopo, kuchimba chimba mahandaki na kuongea ongea sana, sasa ukweli kuhusu hili bwawa umechipuka kwamba mpaka sasa limejengwa asilimia 44% na pia chini ya kiwango, ukizingatia walikua wanasema wapo karibu kuanza kulitumia, na usanii kama huu ndio umekwamisha SGR, Wabongo kwa makelele hawajambo Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere kujengwa chini ya kiwango, naomba kuuliza haya...
44% JNHPP, what percent is Kimwarer dam?

The Malagarasi's 49.5 MW HP loading ($144 mln)
 
Itapatikana ziada ya umeme tunawauzia Majirani zetu
Yaani options ni nyingi mbali na EAC hata SADC pia tutawauzia maana kuna Southern Africa power pool pia!
 
Back
Top Bottom