eddy25r
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 902
- 785
ThanksImejengwa 1991! Juzi imeleta vifo juu ya mafuriko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksImejengwa 1991! Juzi imeleta vifo juu ya mafuriko!
wacha ufala wa kuzusha! leta evidence hii project tender ilitangazwa kampuni zika-bid na two Egyptian companies won the tender. Kama El Sisi anahimiza kampuni zake zihakikishe ujenzi unakuwa wa highest quality ni out of his good diplomacy towards Tanzania that showed a trust to Eqyptian companies just like Turkey's president that has always insists on Yapi-Merkezi delivering! Mind u the $2.9 bln project is the largest foreign tender to Egyptian companies so far!Huo mradi ni wa Rais wa Egypt na Rais wetu wamekubaliana mambo ambayo ni sirikali sn kati ya watu hao wawili....
Muda utaongea na details zote zitawekwa hadharani muda si mrefu
Haahaaa, watasubiri sana20megawati, Sasa hiyo Ni DAM, au josho?
Tulia kijana..... Huijui nchi hii.... Hilo ni diri la Marais wote wawili yote haya yanaenda kudhihirika punde tu......wacha ufala wa kuzusha! leta evidence hii project tender ilitangazwa kampuni zika-bid na two Egyptian companies won the tender. Kama El Sisi anahimiza kampuni zake zihakikishe ujenzi unakuwa wa highest quality ni out of his good diplomacy towards Tanzania that showed a trust to Eqyptian companies just like Turkey's president that has always insists on Yapi-Merkezi delivering! Mind u the $2.9 bln project is the largest foreign tender to Egyptian companies so far!
Hopeless comment.Huo mradi ni wa Rais wa Egypt na Rais wetu wamekubaliana mambo ambayo ni sirikali sn kati ya watu hao wawili....
Muda utaongea na details zote zitawekwa hadharani muda si mrefu
Mkuu achana na huyu mbumbumbu anataka akutoe kwenye issue ya maana!wacha ufala wa kuzusha! leta evidence hii project tender ilitangazwa kampuni zika-bid na two Egyptian companies won the tender. Kama El Sisi anahimiza kampuni zake zihakikishe ujenzi unakuwa wa highest quality ni out of his good diplomacy towards Tanzania that showed a trust to Eqyptian companies just like Turkey's president that has always insists on Yapi-Merkezi delivering! Mind u the $2.9 bln project is the largest foreign tender to Egyptian companies so far!