LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
kunywa maziwa baada ya kutumia bangi!Still Tanzania has the best Public health service and best specialized Hospital in this zone.
Huwa tunawaambia hapa, hamtaki hivi, mbeleni mnaanza kulia.kunywa maziwa baada ya kutumia bangi!
tz ni ldc, bajeti ya afyia ni shilingi ngapi madafu money? tuanzie hapo....Huwa tunawaambia hapa, hamtaki hivi, mbeleni mnaanza kulia.
Huko ni mbali sana[emoji16][emoji16][emoji16], hutanielewa nikianza kukueleza.tz ni ldc, bajeti ya afyia ni shilingi ngapi madafu money? tuanzie hapo....
Bajeti yenu ya KILIMO ni Mara mbili ya Tanzania, lakini tunawalisha sisi na watu wenu wanakufa kwa njaa. Bajeti yenu ya MAJI ni Mara tatu ya Tanzania lakini Nairobi haina MAJI, pesa yenu yote inaishia katika mifuko ya politicians. Failed state.tz ni ldc, bajeti ya afyia ni shilingi ngapi madafu money? tuanzie hapo....
Huko ni mbali sana[emoji16][emoji16][emoji16], hutanielewa nikianza kukueleza.
Tafuta bajet nzima ya tz na kenya, halafu chukua muda wako kuichambua. Kama mshahara wa daktari wa kenya ni mara tatu ya ule wa daktari wa tz, wingi wa bajet usikutishe,baso sijajua nurses, bado ununuzi wa madawa, bado wababe hawajaweka cha juu hapo.
Bajeti yenu ya KILIMO ni Mara mbili ya Tanzania, lakini tunawalisha sisi na watu wenu wanakufa kwa njaa. Bajeti yenu ya MAJI ni Mara tatu ya Tanzania lakini Nairobi haina MAJI, pesa yenu yote inaishia katika mifuko ya politicians. Failed state.
Wewe ndio unajifariji sasa, hiyo gap ya $40bln tunawaombea iendelee kupanuka, ili one day muweze angalau kukopesheka, bcoz for now hali ni mbaya sana.msijiliwaze bure, Kenya kuna ufisadi lakini bado mambo yanafanyika. ndio maana gap sasa ni $40billion.
katika vigezo vyovyote unaweza fikiria, Kenya imewapiga tatu bila. Hilo la kulisha Kenya halijawahi kutokea(ila tu kwa akili za wanalumumba) WaKenya wananunua chakula wakati wa upungufu Kenya. bila waKenya kununua mazao yenyu, mtaisha kwa ufukara.
Blaza kinyesi inaliwa nbo, hujasikia kipindupindu kwa cbd[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kichaa anasema wanatulisha huku wa kwao msosi ni kinyesi.
uelewa wa watz ni mdogo sana, ndio maana unaweza toa statement kama hizi. Hali ya Kenya hata ikiwa mbaya, bado ni bora kuliko tanzagiza yenye UDHAIFUWewe ndio unajifariji sasa, hiyo gap ya $40bln tunawaombea iendelee kupanuka, ili one day muweze angalau kukopesheka, bcoz for now hali ni mbaya sana.
Elimu ya bongo ni duni sana. Mbona watoto wenu hawakuugua kipindupindu licha ya kula kinyesi kila siku???Blaza kinyesi inaliwa nbo, hujasikia kipindupindu kwa cbd[emoji23][emoji23][emoji23]