mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Kawaida mgonjwa wa akili haogopi kitu zaidi ya kunyolewa nywele[emoji16][emoji16][emoji16].mimi sitishwi na upuuzi! uguza majeraha pembeni.
Ningeshangaa wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida mgonjwa wa akili haogopi kitu zaidi ya kunyolewa nywele[emoji16][emoji16][emoji16].mimi sitishwi na upuuzi! uguza majeraha pembeni.
sioni kinacho kuchekesha hapo, huenda wewe ndio wazimu! lakini sishangai kwani ni kawaida yenyu kuharibu mada baada ya kutolewa kamasi.Kawaida mgonjwa wa akili haogopi kitu zaidi ya kunyolewa nywele[emoji16][emoji16][emoji16].
Ningeshangaa wewe.
Sasa sababu ya ku panick ni nini!!!!get a rope n go hang your neck, itazika municipal.sioni kinacho kuchekesha hapo, huenda wewe ndio wazimu! lakini sishangai kwani ni kawaida yenyu kuharibu mada baada ya kutolewa kamasi.
ugumu wa maisha umekushika wewe hapo ldc. zidi na emoji za maumivu.Sasa sababu ya ku panick ni nini!!!!get a rope n go hang your neck, itazika municipal.
Ugumu wa maisha umeshashika kichwa[emoji23][emoji23].
Mkopo wa SGR unyimwe wewe, maumivu nipate mimi[emoji16][emoji16][emoji16].ugumu wa maisha umekushika wewe hapo ldc. zidi na emoji za maumivu.
naona wewe ndio kichaa, embu weka proof kuwa mimi nimeomba mkopo wa SGR au wowote ule na nikanyimwa!Mkopo wa SGR unyimwe wewe, maumivu nipate mimi[emoji16][emoji16][emoji16].
Ndio maana nasema wewe ni kichaa rasmi.
Ok, hauhusiki kwa namna yoyote, si wewe uliye omba.naona wewe ndio kichaa, embu weka proof kuwa mimi nimeomba mkopo wa SGR au wowote ule na nikanyimwa!
nilikwambia wewe ni kichwa maji ukabisha, ona sasa......Ok, hauhusiki kwa namna yoyote, si wewe uliye omba.
But u kno what, my friend utaulipa pumbaaavu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka Ile ripoti ya WB iliosema madaktari wa Tz ni Sawa na nurse wa Kenya Kwa ujuzi!!!!!Hapa ndio usipime, halafu madaktari wao wachache ukiangalia uwiano wa madaktari kwa idadi ya Watanzania, madaktari wao wanasota mtaani hadi kuna kipindi wangeajiriwa Kenya sema siasa ziliingilia kati.
Jameni umaskini hutesa.
Tz ni akili kubwa wewe mbuzi hutaki subiri uone, pamoja na kuwa na uwezo wa kuilipa hatulipi mkopo hata mmoja, 2025 utakuwepo ukishuhudia.nilikwambia wewe ni kichwa maji ukabisha, ona sasa......
Kenya niijuavyo haijawahi kusamehewa deni au kushindwa kulipa deni! lakini wewe hapo ldc najua umeshikilia utumbo kwa ngumi maana awamu hii, hakuna kusamehewa deni kama mlivyozoea round hii mtafumuliwa marinda bloody fcukin!
Eti eh!!! Na WB wanajuaga kuwatia ujinga[emoji23][emoji23][emoji23].Nakumbuka Ile ripoti ya WB iliosema madaktari wa Tz ni Sawa na nurse wa Kenya Kwa ujuzi!!!!!
mbona unajichanganya?? umesema sisi hurudisha pesa, sasa kuhongana na maombi kwa mombasa port, wapi na wapi?? kunywa maziwa bangi itulize makali kwichwani.Tz ni akili kubwa wewe mbuzi hutaki subiri uone, pamoja na kuwa na uwezo wa kuilipa hatulipi mkopo hata mmoja, 2025 utakuwepo ukishuhudia.
Siku zote nyinyi ni wateja watiifu kurudisha pesa, lakini mmenyimwa mkopo mdogo tu, badala la kujitafakari wapi mnakosea, still your here vomiting ugoro. Kimbembe ni kwamba huo wa SGR pamoja na kwamba haijakamilika, wanaume wanataka pesa yao, mtawahonga dada zenu instead sijui, ila mtalipa nyang'au![]()
![]()
.![]()
Pray for mombasa port![]()
![]()
![]()
Mkopo wa SGR unyimwe wewe, maumivu nipate mimi[emoji16][emoji16][emoji16].
Ndio maana nasema wewe ni kichaa rasmi.
naona wewe ndio kichaa, embu weka proof kuwa mimi nimeomba mkopo wa SGR au wowote ule na nikanyimwa!
Elimu ya bongo ni duni sana.
KENYAN Doctors per month
Top earner KSh582,954(Tsh 13,288,054)
Lowest-paid doctor (intern) earn KSh206,989(Tsh 4,718,178)
TANZANIAN Doctors per month
Highest paid doctor Tsh 2,900,114(Ksh 127,003)
Nimekosa ya lowest paid Tz Doctor. But nimeona mahali average ni Tsh1.48 million(Ksh 65,000)
Kwa kifupi intern Kenya analipwa zaidi ya medical director TZ
Anyway feel free to correct me
Huu ni uongo halafu wa kitotoNakumbuka Ile ripoti ya WB iliosema madaktari wa Tz ni Sawa na nurse wa Kenya Kwa ujuzi!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa fala sanaaa....Huu ni uongo halafu wa kitoto
Blaza kinyesi inaliwa nbo, hujasikia kipindupindu kwa cbd[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wataalam wakauita huu ugonjwa waterborne na sio faecesborne disease?