Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Kwa akina MY BEAUTIFUL MELISSAAA. ππ±π± ah wapi ww janerose huku wanaume tupo busy na kusaka chapaaa hakuna mbongo anayejipodoa podoa izo habari utazikuta kwa wacongoman
Ndio nqni huyo una mmention ...nahisi simufahamu huyo kiumbeKwa akina MY BEAUTIFUL MELISSAAA. π
Alienda wapi kwani?
Never mind. Salimia Joel lwaga. Listening to his song 'MIMI NI WA JUU'Ndio nqni huyo una mmention ...nahisi simufahamu huyo kiumbe
Hahahhahahaa bora nicheke tu hivi wewe ni msomi kweli hujuwi H atom ipo wapi kwenye iyo structure kweli?. Siamini kama hujuwi pengine umesahau tu kidogo. Au mmezoea open structure uoneshe H atom zote zilivyojijenga eee?In RNA there is OH in carbon number 2. Now show me the Hydrogen atom in carbon number 2 in DNA. The first one is a picture of RNA and the second is a structure of DNA. Observe and then slap yourself very hard.View attachment 1087053View attachment 1087054
Naelewa what you are saying but gharama ya maisha ya Ke na Tz hazijaachana sana. Na mkate Kenya ni 50ksh(1000tsh).Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa money purchasing power ambacho kinabainisha kuwa, unaweza ukakuta mshara wa Daktari wa Kenya una uwezo wa kununua bidhaa ndani ya soko la Kenya, unazidiwa na ule wa daktari wa Tanzania ndani ya soko la Tanzania. Kwa mfano, mkate Kenya tuseme unaweza kuwa unauzwa KShs 200/= na Tanzania unauzwa TShs 1,500/= Kwa hapa tu unaweza kuona kuwa mkate wa Kenya unagharimu sawa na Tshs 4,000/= za Tanzania. Kwa hiyo kwa kuangalia nominal figures, huwezi ku-rule outright kwamba mshahara mkubwa wa Kenya una maslahi kuliko ule mdogo wa Tanzania, except tu kama huyo anayepata mshahara huo Kenya, atakuwa anaishi Tanzania na kutumia bidhaa za Tanzania. Kama anaishi Tanzania hapo sawa mshahara wake utakuwa una maslahi kuzidi wa mtanzania, lakini kama Daktari wa Tanzania anaishi Tanzania na wa Kenya naye anaishi Kenya, usishangae hiyo mishahara ikawa iko sawa, au hata ule unaouona mdogo, ukawa una purchasing power kubwa kuliko ule mkubwa wa nchi nyingine.
By the way, ulishagundua kuwa kadri currency ya nchi inavyozidi kuwa na thamani ukilinganisha na Dollar, ndivyo kadri bidhaa za nchi hiyo zinavyozidi kuwa expensive and vice-versae? Kwa mfano, Euro inavyozidi ku-appreciate against Dollar ndivyo kadri bidhaa ndani ya soko la EU zinavyozidi kuwa ghali na maisha ya mtu mmoja mmoja kuwa magumu, though uchumi wa EU kwa ujumla unaweza kuwa unazidi kuimarika. Watu wanaoishi kwenye vi-inchi amabvyo currency yake ni dhaifu ukilinganisha na dola, bidhaa zao ziko cheaper, japo macro level (uchumi wa nchi ) ndiyo unakuwa mgogoro. Kwa hiyo at micro-economics level, currency ambayo ni hafifu against Dollar huwa inaashiria bidhaa rahisi ndani ya soko la nchi husika, na uchumi dhaifu wa nchi (marcro-economics level) katika ujumla wake, and the vice-versa is true!
Naelewa but difference ya Kenya na Tz si kubwa sana. Ni similar in some way. Kenyan one being slightly higherMfano mwingine rahisi tu ni kuwa, nahisi kama mshahara wa dollar 4000 (swawa na Tshs 8,800,000/=) kwa mtu anayeishi Marekani, unaweza ukawa unazidiwa mara kadhaa na mshahara wa million 4 wa mtu anayeishi Tanzania
Naelewa what you are saying but gharama ya maisha ya Ke na Tz hazijaachana sana. Na mkate Kenya ni 50ksh(1000tsh).
T.v. ya LG /Sumsung /Sony inch 32 mnanuziwa sh ngap ya Kenya?Naelewa what you are saying but gharama ya maisha ya Ke na Tz hazijaachana sana. Na mkate Kenya ni 50ksh(1000tsh).
20k to 24kT.v. ya LG /Sumsung /Sony inch 32 mnanuziwa sh ngap ya Kenya?
Ni sawa tu na uku tofauti ndogo mno20k to 24k
But cheaper models za china naona unweza pata na 13k
Free classifieds in Kenya β | Jiji.co.ke
Free Classifieds in Kenya β Sell to Real People on Jiji.co.ke β β β β Post Ad on #1 Real People Classifieds site β over 529,449 local classified adswww.olx.co.ke
Electronics kama TV, simu etc ni similar Kenya na TZ, ata bei ya magari. Difference labda rent, chakula na locally produced thingsNi sawa tu na uku tofauti ndogo mno
Tuje kwenye bei ya apartment sasa,standard ya 3bedrooms ni bei gani na terms of payment uko ikoje...nyumba iwe kwenye mtaa unaoeleweka sio uswahiliniElectronics kama TV, simu etc ni similar Kenya na TZ, ata bei ya magari. Difference labda rent, chakula na locally produced things
Show us how to calculate inflation rate ndio tujue inflation ya both countries.Ahaaa haaa haaa
Hizo ni feeling za mtaani. Lete takwimu. Inflation ya TZ ni ngapi na Ke ni ngapi!!
Naassume ni yenye haiko furnished. ni from 25k to around 40k. Inadepend na area. So say around 30kTuje kwenye bei ya apartment sasa,standard ya 3bedrooms ni bei gani na terms of payment uko ikoje...nyumba iwe kwenye mtaa unaoeleweka sio uswahilini
Show us how to calculate inflation rate ndio tujue inflation ya both countries.
Tuje kwenye bei ya apartment sasa,standard ya 3bedrooms ni bei gani na terms of payment uko ikoje...nyumba iwe kwenye mtaa unaoeleweka sio uswahilini
Never mind. Salimia Joel lwaga. Listening to his song 'MIMI NI WA JUU'
Kenya ni melting pot kakaOna saivi wachina wameshaanza kumiminika kukagua koloni lao, wakenya mtashaaView attachment 1087864
Eunice wanjiru - You mean Eunice Njeri/ Evelyn Wanjiru?mimiii ni wa juuuuu x 2 yule kijana anajua akikutana na eunice wanjiru au mercy nazani watatengeneza gospel colabo ya maana sanaa