Comparison. Mishahara ya madaktari Ke vs Madaktari Tanzania

usibadili mada! swali ni rahisi sana....mapato mengine zaidi ya kodi kwa GoT ni yapi?
Mapato ya ndani vyanzo vyake zimeainishwa hapo kwenye budget iliopita
 
I know vectors and I know pathogens as well as their morphology and life cycles. What do you know about them apart from the names?
Do you know pathophysiology of cholera?atleast in short
 
natumai sasa unegundua kuwa tanzania haina mapato yeyote ya maana inje ya kodi ya kuzungumziwa!
Kama umesoma na haujaelewa basi wewe huna tofauti na mbuzi
 
Kama umesoma na haujaelewa basi wewe huna tofauti na mbuzi
hehehehe punguza pressure mzee. Umeweka hapa budget statement ambayo umekutoa kamasi wewe mwenyewe.
 
Wakenya wengi mpakani wana prefer kuja kutibiwa Tz, watu hawaendi tena kutibiwa Abroad, difficult surgery are performed with our own doctors now, hii sio Tz ya 90s karib7 mjionee
 
usibadili mada! swali ni rahisi sana....mapato mengine zaidi ya kodi kwa GoT ni yapi?
Kuna tofauti kati ya kodi na mapato? No wonder all of your government earnings are going to pay salaries mnakopa mpaka pesa ya kujenga 10 kilometres of tarmac road, shame
 
The price of rice
IN KENYA
1kg is KES 149.5/= sawa na TSH 3,412.9
IN TANZANIA
1kg is TSH 2000/= sawa na KES 87.6/=
Sometime swala sio mishahara but daily life expenses
Eti 149/=????Endeleeni kuanika ujinga wenu.
87kshs huko tz na mnazalisha mpunga mwingi ukanda huu???
Kenya ni 70-80kshs
 
Kuna tofauti kati ya kodi na mapato? No wonder all of your government earnings are going to pay salaries mnakopa mpaka pesa ya kujenga 10 kilometres of tarmac road, shame
kodi ni aina ya mapato, tz ni ldc na mapato yote (kodi na kadhalika) hayawezi kufanya mradi wowote.
 
Bila shaka nyie ndio nguruwe. Kazi yenu ni kusambaza habari za uongo. flour 1kg kshs 250 na rice 1kg 149ks
Hamjawahi toka tz nyinyi!
250 flour, ina sukari ndani yake[emoji16][emoji16][emoji16], haki mna maisha magumu sana.

Ndio maana kula ugali kenya ni anasa, sasa sukari mnauziwaje wazee wa DC??
 
kodi ni aina ya mapato, tz ni ldc na mapato yote (kodi na kadhalika) hayawezi kufanya mradi wowote.
Mbona unakomaa na ujinga kichwani??? Wewe ni mke wa Governor!!!!!!
 
kodi ni aina ya mapato, tz ni ldc na mapato yote (kodi na kadhalika) hayawezi kufanya mradi wowote.
Did you ask yourself how much your tax money did your country raise from au unafikiri kisa wewe hujui basi wote hatujui?

Get it raw and wild πŸ‘‡

In the 2016/2017 financial year, Kenya’s treasury raised KSh1.306 trillion in revenues. This consisted of KS1.253 trillion from taxes (96% of the total) and only KSh52.8 billion from non-tax sources, such as fines and money that government institutions receive and are allowed to keep to meet costs.

😎
 
More than half of Kenya's public funds going to pay salaries and another half going to pay for Chinese debts and half more is freshly borrowed from higher interests lenders {probably more Chinese, their one and only refuge} to wage doomed more government expenditure 😁😁😁😁

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

In its most recent report of December 2017, the Salaries and Remuneration Commission said that the public wage bill during the 2016/17 financial year was KSh676 billion. This was 54% of the money raised from taxation.
 
So we are going in such routine till the second coming of Jesos 😁😁😁😁
 
Madaktaree wa Kunya hoyeee😁😁 keep bankrupting the failed and broke shithole effectively
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…