mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Diptera ikijaribu kulala.Thanks for confirming that you're musica domestica [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diptera ikijaribu kulala.Thanks for confirming that you're musica domestica [emoji3]
Kitakwimu katika ukanda wa mashariki na kusini mwa Africa, Tanzania inazalisha madaktari wengi zaidi kuliko nnchi zingine, kuajiriwa na serikali kwa wakati huu imekuwa tabu sana kuliko miaka kadhaa nyuma, lakini pia madaktari wengi watz wanakuwa employed katika nchi zingine za sadc sana.Hapa ndio usipime, halafu madaktari wao wachache ukiangalia uwiano wa madaktari kwa idadi ya Watanzania, madaktari wao wanasota mtaani hadi kuna kipindi wangeajiriwa Kenya sema siasa ziliingilia kati.
Jameni umaskini hutesa.
msijiliwaze bure, Kenya kuna ufisadi lakini bado mambo yanafanyika. ndio maana gap sasa ni $40billion.
katika vigezo vyovyote unaweza fikiria, Kenya imewapiga tatu bila. Hilo la kulisha Kenya halijawahi kutokea(ila tu kwa akili za wanalumumba) WaKenya wananunua chakula wakati wa upungufu Kenya. bila waKenya kununua mazao yenyu, mtaisha kwa ufukara.
Wewe eliakeem na tuusan mlifunzwa sayansi ya shule ya msingi na nani?Ahaaa haaa haaa
To understand that distinguish between pathogens and vectors of diseases.
naona umerudi nikutoe kamasi kama jana!Mbona unakomaa na ujinga kichwani??? Wewe ni mke wa Governor!!!!!!
unangoja nini? elewa mada kwanza na tunacho kijadili hapa, ukitaka kuongea kuhusu bajeti ya Kenya, anzisha uzi.YoungD am waiting backfire and I never mentioned another half more for looters take-homes because without that nothing is working in Kunya as usual 😁😁😁😁
Mkenya unaanzaje kumtoa kamasi mtz!!!naona umerudi nikutoe kamasi kama jana!
Hao wa huko kwenu ndo hawawezi fanya lolote, huku kwetu Nurse ndo wana tahiri watoto,diagnose malaria,TB, Cholera na magonjwa mengine kama hayo, na wakishindwa ndo wanakupatia referal uende Level 4 District hospital ukamuone daktari...
Do you understand anything about Pathogenesis of cholera?
Do you know pathophysiology of cholera?atleast in short
He/she told you that cholera is a vector-borne disease?Ahaaa haaa haaa
Na Mwalimu.
He/she told you that cholera is a vector-borne disease?
Ahaaa haaa haaa
Do you understand what's vector as far sporadic diseases are concerned?
Lol 😂 Now this is the answer to my quiz. Be serious my friend.Ahaaa haaa haaa
Do you understand what's vector as far sporadic diseases are concerned?
It seems vector is the only word you know in parasitology or bacteriology. Let me educate you that vector is just a reservoir of the infection agent that are asymptomatic. Vectors ranges from single cellular organisms like amoeba to multicellular ones like human beings.
Wewe ndio hujui mi najuaThey don't know anything about pathogenicity.
Jibu swali acha siasaMy friend Tuusan I think it's high time you engage me in serious microbiological discussion not first years questions like pathophysiology. Who doesn't know that pathophysiology are physiological disorders that results from certain diseases, it's also known as morbid physiology.