Comparison. Mishahara ya madaktari Ke vs Madaktari Tanzania

Comparison. Mishahara ya madaktari Ke vs Madaktari Tanzania

Hapa ndio usipime, halafu madaktari wao wachache ukiangalia uwiano wa madaktari kwa idadi ya Watanzania, madaktari wao wanasota mtaani hadi kuna kipindi wangeajiriwa Kenya sema siasa ziliingilia kati.
Jameni umaskini hutesa.
Kitakwimu katika ukanda wa mashariki na kusini mwa Africa, Tanzania inazalisha madaktari wengi zaidi kuliko nnchi zingine, kuajiriwa na serikali kwa wakati huu imekuwa tabu sana kuliko miaka kadhaa nyuma, lakini pia madaktari wengi watz wanakuwa employed katika nchi zingine za sadc sana.
Source Mimi mwenyewe.
 
YoungD am waiting backfire and I never mentioned another half more for looters take-homes because without that nothing is working in Kunya as usual 😁😁😁😁
 
Endelea kujifariji kwa tusker baridiiiii.....
msijiliwaze bure, Kenya kuna ufisadi lakini bado mambo yanafanyika. ndio maana gap sasa ni $40billion.
katika vigezo vyovyote unaweza fikiria, Kenya imewapiga tatu bila. Hilo la kulisha Kenya halijawahi kutokea(ila tu kwa akili za wanalumumba) WaKenya wananunua chakula wakati wa upungufu Kenya. bila waKenya kununua mazao yenyu, mtaisha kwa ufukara.
 
YoungD am waiting backfire and I never mentioned another half more for looters take-homes because without that nothing is working in Kunya as usual 😁😁😁😁
unangoja nini? elewa mada kwanza na tunacho kijadili hapa, ukitaka kuongea kuhusu bajeti ya Kenya, anzisha uzi.
 
Hao wa huko kwenu ndo hawawezi fanya lolote, huku kwetu Nurse ndo wana tahiri watoto,diagnose malaria,TB, Cholera na magonjwa mengine kama hayo, na wakishindwa ndo wanakupatia referal uende Level 4 District hospital ukamuone daktari...

Sijakuelewa, inamaana the lower level hospitals have no doctors?
 
My friend Tuusan I think it's high time you engage me in serious microbiological discussion not first years questions like pathophysiology. Who doesn't know that pathophysiology are physiological disorders that results from certain diseases, it's also known as morbid physiology.
Do you know pathophysiology of cholera?atleast in short
 
It seems vector is the only word you know in parasitology or bacteriology. Let me educate you that vector is just a reservoir of the infection agent that are asymptomatic. Vectors ranges from single cellular organisms like amoeba to multicellular ones like human beings.
Ahaaa haaa haaa
Do you understand what's vector as far sporadic diseases are concerned?
 
It seems vector is the only word you know in parasitology or bacteriology. Let me educate you that vector is just a reservoir of the infection agent that are asymptomatic. Vectors ranges from single cellular organisms like amoeba to multicellular ones like human beings.

Ahaaa haaa haaa
You started by bashing as if you know something.
Le me give you an eyes opener.
1. Pathogens are diseases causing organisms. E.g plasmodiums, amoeba, bacteria etc.
2. Vectors are organisms that transfers pathogens from one host to another. The common vectors of we have are flies, mosquitoes. Other vectors are not living organisms such as water, air, dust. Etc
 
My friend Tuusan I think it's high time you engage me in serious microbiological discussion not first years questions like pathophysiology. Who doesn't know that pathophysiology are physiological disorders that results from certain diseases, it's also known as morbid physiology.
Jibu swali acha siasa
 
Back
Top Bottom