Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Then why is it taught in universities that T.gondii causes brain cancer?That's why I insisted on it because I was taught like that.. Just the same way I'll tell you that Hepatitis B and Hepatitis C viruses causes liver cancer and papilloma virus which causes cervical cancer.
Acha upoyoyo wewe, kuna sheria na kanuni za kimataifa ambazo zimewekwa ili kudhibiti matumizi ya hizo research, hata kama nitakubaliana na hiyo research, lakini kama haijawa proved na WHO haiwezi kutumika katika maeneo mengine yoyote Yale zaidi ya kwenye research tu, ndio sababu hii research imewekwa katika Medical Journal, not for General public.
Point ni kwamba, inawezekana walichoandika kikawa na uhasilia au ukweli, lakini bado kunahitajika research zingine nyingi zifanyike ili kuprove kama kweli hicho kilichoandikwa ni kweli, then WHO will approve na kuruhusu kifundishe katika shule na vyuo mbali mbali, ila kwasasa hicho kitu kiko katika hata za awali.
Kwasasa hivi ukijibu katika mtihani kwamba Toxoplasma gondii ni carcinogenic wanakufelisha. Ninarudia, kwasababu hijapitishwa na WHO, huu ushahidi haukubaliki hata kama kuna ukweli kiasi gani.