Competition:Chatting in Eng Vs Chatting in Swahili.

Competition:Chatting in Eng Vs Chatting in Swahili.

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
As the Chit Chat says Talk about anything that falls under no category..

Now Let us have a simple Competition here.
You just need to Choose one language either Swahili Or English...

Basically two teams Swahili team and English Team..
Then we shall see which team is an interest of many members and which team is an interest of few members..

Kama Chit Chat inavyosema ongelea kuhusu chochote kile.

Sasa tufanye shindano rahisi Sana.
Unachotakiwa ni chagua lugha moja kati ya Kiswahili au Kiingereza.

Kiujumla ni timu mbili hapa timu kiingereza na timu Kiswahili Mwisho wa siku tutaona Timu gani itakuwa na washiriki na ipi itafurahisha zaidi.
 
Baada ya miezi kadhaa utakuwa benchi ukisoma nyuzi za wageni wapya..😊
 
Muda utafika utatamani kusoma za wengine kwako utaona huna jipya.
[emoji4]kichwa hiki kina mastress hayaishagi kabisa alafu sasa nimeconcetrate kwenye MMU Ila Nina nondo za majukwaa mengine nimetunza
 
[emoji4]kichwa hiki kina mastress hayaishagi kabisa alafu sasa nimeconcetrate kwenye MMU Ila Nina nondo za majukwaa mengine nimetunza
I can see kwakweli..keep it up..!!
 
I've been following your feeling coz your my dealing!
I will always stay with you coz I can't live without you!
Your the tommorow of me, don't stop and leave!

The moyo of mine beating your sweet name!.. the mango mango can be tango tango.. let's play Mambo Jambo tukafanye Mambo Mambo..😉

I love you cute eyes..😍
 
I've been following your feeling coz your my dealing!
I will always stay with you coz I can't live without you!
Your the tommorow of me, don't stop and leave!

The moyo of mine beating your sweet name!.. the mango mango can be tango tango.. let's play Mambo Jambo tukafanye Mambo Mambo..[emoji6]

I love you cute eyes..[emoji7]
Beautiful dedication but are you firstly approaching her ?
 
Back
Top Bottom