Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

eb183e976904ae3424f81281dd1edefb.jpg
 
mhenga aliye sema mtaka cha uvunguni shart uiname ni yupi?

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 539593

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app

Mi ndiyo maana nakuita wewe mshana jr muongo....hawa ni Baka people (mbilikimo) waishio msituni (Cameroon na Congo)....basi hapo utasema uliwakamata jana usiku. Mshana bwana, wacha vituko....njoo kivingine. Si unaona mwenzio Domo kaona gemu linambadilikia anauza karanga siku hizi?
 
Inasemekana hawa ndo wahenga waliosema kiendacho kwa mganga hakirudi..
IMG-20170711-WA0009.jpg

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Mi ndiyo maana nakuita wewe mshana jr muongo....hawa ni Baka people (mbilikimo) waishio msituni (Cameroon na Congo)....basi hapo utasema uliwakamata jana usiku. Mshana bwana, wacha vituko....njoo kivingine. Si unaona mwenzio Domo kaona gemu linambadilikia anauza karanga siku hizi?
Mkuu, huu uzi si wa wahenga kweli, ni wavichekesho tu... Pia unatukumbusha methali kwa picha, siku hizi kusikia watu wakibadilishana methali ni nadra sana. Huu uzi unatoa somo pia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....mbavuuuuu....zanguuuuuu.....mieeeee...!!!..

Sent from my HUAWEI G750-U10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom