Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Hahahaaa hawa wahenga wamenifanya nicheke sana

Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Gods must be crazy

Sent from my Lenovo P1a42 using JamiiForums mobile app
 
Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.

Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…