Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Ni mhenga yupi aliyesema haya maneno?Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.
Kutrend kwa suala hili kwangu kuna tafsiri mbili moja ni ama Taifa lina watoto wengi ama lenye watu waliojawa na utoto mwingi, na pili ni unafiki na kutojishughulisha na masuala nyeti ya kitaifa,badala yake tunashabikia mambo ya kipuuzi yasio na tija kwa Taifa
Pia tuongeze hii kwani yaweza kukaa mahali pake "AKILI NI NYWELE"
Hihii huu uz unanifanya nionekane mwehu nacheke hapa machoz yanatiririkana nipo kwenye daladalaTehteh
😀Huyu bibie ni muhenga wa kulilia uzungu ukubwani, tofauti na alivyokuwa miaka ya nyuma.
View attachment 540059
Zamani alikuwa hivi:
View attachment 540062
Tudeal na jambo gani mkuu!Hii yote ni kwa sababu Taifa limekuwa la hovyo hovyo,na watu wake kushabikia mambo ya hovyo ilhali tukiacha ku'deal na masuala mazito ya Taifa letu.