Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

Kwani huyu sio mhenga aliyesema "kama umekula fedha za uma zitakutokea mahali popote penye tundu"?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Daah! Hakika mungu anaijua vilivyo mioyo ya watanzania kwa sasa....huu uzi ni BONGE la stress remover.
Mshukuruni mungu kujibu maombi yenu.
 

Aisee....
Pole kwa "kukukanyaga".
Nilitarajia response ya aina hii kutoka kwa watu wa aina yako....sijashangaa !!
 
Wahenga wa "age is just a number"



Sent from my 1201 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa...!!

Muhenga huyu hana tofauti na yule aliyesema, PONDA MALI, KUFA KWAJA....! Mzee Mengi baada ya Kuchumia Juani....sasa analia KIVULINI...[emoji120] [emoji120]

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Kwani huyu sio mhenga aliyesema "kama umekula fedha za uma zitakutokea mahali popote penye tundu"?
Hii ni PENYE NIA...PANA/KUNA NIA...!!

MKULU.... KAZINI...[emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…