mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mzee usichukulie hii mambo serious sana,hapa tunajaribu kupozana machungu ya ccm na kuongeza siku za kuishi.
mshana jr ananielewa, nilikuwa namchemsha tu na si mara ya kwanza. Niliboreka na nilitaka kumchesha ili anirushie makombora yake ya matunguli kisha nije nimuandike hapa, bahati nzuri alinizidi maujanja na kunicheka tu.