mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mzee usichukulie hii mambo serious sana,hapa tunajaribu kupozana machungu ya ccm na kuongeza siku za kuishi.
[emoji102] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji781]mshana jr ananielewa, nilikuwa namchemsha tu na si mara ya kwanza. Niliboreka na nilitaka kumchesha ili anirushie makombora yake ya matunguli kisha nije nimuandike hapa, bahati nzuri alinizidi maujanja na kunicheka tu.
Hawa wahenga walinena yapi
Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
Nadhani ni wale walionena mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio.Hawa wahenga walinena yapi
Sent from my D5803 using JamiiForums mobile app
Naomba picha ya mke mtu sumuNaomba picha ya mhenga aliesema hasomeshi wazazi.
Kutana na mhenga aliyesema usibishane na mpumbavu na wewe utaonekana mpumbavu
mayoooooooooooooooooooo.
"mtoto akililia wembe mpe...."
wahenga waliona mbali....
Sent from my HUAWEI G750-U10 using JamiiForums mobile app
komaHuyu ndo Rais wa malofa
Jasho la mtu haliliwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui huyu alisemaje