Hahahahahahhahahaahahha
Mhenga aliyesema "chombo cha kuzama hakina usukani"
Ayse wahenga mnatisha nipo msibani ila nmecheka mpaka watu wamenishangaa
Huyu jamaa ni baba bora kwa kweliNice one
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Ngumu kuielewa
Huyo aliyekaa kifua wazi na kitambaa kichwani alikuwa ndio kwa mara ya kwanza anamwambia huyo mwenye kofia "ukistaajabu ya musa utaona ya firauni"
Uwiii mamaaaa.Mbavu zimeanza kuchomoka mmoja mmojaπππ±ππ
Muhenga aliyesema Haba na haba hujaza kibaba
Na wewe sio mhenga ?Uwiii mamaaaa.Mbavu zimeanza kuchomoka mmoja mmojaπππ±ππ
π
Mhenga aliesema kidole kimoja hakivunji chawa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
"Ponda mali kufa kwaja"
Huyu Mhenga ni kaka yake Mshana Jr ila sijui alisema nini miaka hiyo BAPA ndio znaingia