ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
BONGO MOVIES & BONGO FLEVA COMPINATION
KATIKA JUHUDI YA KUINUA NA KUENDELEZA SANAA NCHINI TANZANIA
Kumekuwepo na mabadiliko makubwa sana katika Tasnia hii ya Muziki wa Bongo fleva, maana wasanii wengi wa Bongo movie kwa sasa nao kwa namna moja ama nyingine wamejiingiza/ wamejikita zaidi kwenye suala nzima la " uimbaji"Baada ya kuona Soko kwenye upande wa "Bongo movie" limeshuka..Ama naweza kusema ni Anguko kubwa sana katika sanaa ya uingizaji nchini Tanzania limetokea , na wengi wao wameamua kubadili mitazamo yao na wameamua kuamia upande wa pili wa shilingi..
Na wasanii hao kwa mtazamo wa Harakaharaka mimi nadhani waliona pia kwenye inshu za "Uingizaji wa filam & series" ni sehemu ya fursa ya kuendeleza mikakati yao kiuchumi ,kuliko kusubili project mpya kwenye "Uingizaji wa filam & series"
Mfano kama vile.
Baby Madaha msanii aliyeibukia kutoka mashindano ya BSS na kuwa moja kati ya waigizaji wanaofanya vizuri katika fani zote mbili yaani muziki na filamu, kaigiza filamu za ‘Ray Of Hope’, ‘Nani’, ‘Desperado’ na nyinginezo.
Lakini pia "wasanii ambao wanafanya uingizaji wa kuchekesha "comedians" ndio kwa kiasi kikubwa waliingia katika sanaa ya "uimbaji"
Naweza kusema hivyo . Kama ni mfuatiliaji basi utakubaliana na mimi katika hili.
Mfano.
Jackson mkwaya " bambo" na nyimbo kama vile " nakusaka saka" & "kitambi"
Nyimbo zilizompa umaarufu pia kwenye upande wa "Uimbaji" nje ya Bongo movie hasa ule wimbo wake wa " kitambi" mchekeshaji huyu alijaribu kuieleza jamii baadhi ya changamoto ambazo watu wenye vitambi wanapitia katika shughuli zao za kila siku na ndani ya maisha yao kwa ujumla..
Lakini pia Rafiki yake wa karibu na Bambo msanii Rashind mwinshehe a.k.a " kingwendu" ukiachana na vibweka vya Kingwendu akionyesha mapepe yake. Unaweza vunja mbavu zako kwa kicheko kwenye movie.
Alikuja na hit song yake moja inaitwa " mapepe" nyimbo hii ilijikita zaidi kueleza Tabia ya Dada/ mrembo moja ambaye lifestyle yake katika jamii ilikuwa ni ishara Tosha sana kwamba huyu Dem ni mapepe..
Vile vile msanii kutoka Crew ya "Scopion Girl" miliam jolwa a.k.a jini " kabula" alitoa wimbo wake unaitwa " mapenzi"
Dokii pia alitoa wimbo wake unaitwa " Welcom Obama " Enzi za Uongozi wa mh. Jakaya mrisho kikwete . Kipindi cha Ziara ya Raisi mstaafu wa Marekani " Baraka Obama " Hapa Nchini Tanzania
Kwa hapa Tanzania haya ni baadhi ya majina ya waingizaji wa filam & series ambao pia wanafanya muziki/ waliweza kufanya muziki kwenye hii miaka ya hapa katikati..
1. Marehemu sharo milionea - changanya changanya & chuki Bure
2. Hemed p.h.d - imebaki stori & ulisema
3. Baby madaha - ni wewe & Amore
4. Kitale - hili Dude noma & Binadamu Wabaya
5. Kingwendu - Mapepe
6. Masanja - Ugali
7. Alex wa Machejo - Ngekewa
8. Dokii - welcome Obama
9. Jini kabula - mapenzi
10. Shilole - dume dada & lawama
11. Chege & temba -
12. Masanja mkandamizaji - Ugali
#funguka.
Ukwaju wa kitambo
0767542202