Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:hail:I bow to the docs, hands down, thats pure science! Inasikitisha sana mtu ana mgonjwa kwenye critical condition, daktari akiokoa maisha yake shukrani anapewa mungu, how does he even come into this?!!...:wacko:

since scientist only tries to make man's survival they are not sure they can 100%. that is why we have to thank god the owner of the soul.
1;Ili sayansi ifanye kazi inategemea kanuni zinazousimamia ulimwengu huu ziwe kamili bila kuyumbishwa vinginevyo hawawezi kufanya kazi yao vyema
2;Uhai wa huyo anaefanyiwa upasuaji unaegemea kwa hao madaktari wakiwa timamu kiakili na kiafya,yote haya hayako kwenye mamlaka yao bali mwingine ambae ni Mungu
Kama unabisha thibitisha kuwa hayo yote yanatoka pengine na sio kwa Mungu
Why don't we glorify God?
Kipi kinakuuma?
Yaani utadhani una chako hata kwenye huo uhai ulionao!
Kwa hiyo huyo mungu anauwezo wa kuwapa afya njema madaktari lakini hana uwezo wa kuwapa afya njema wagonjwa?!!!!
mmh, jamani
:hail:I bow to the docs, hands down, thats pure science! Inasikitisha sana mtu ana mgonjwa kwenye critical condition, daktari akiokoa maisha yake shukrani anapewa mungu, how does he even come into this?!!...:wacko:
Remember those words in quote "above" are your diabolical opinions.Kwa hiyo huyo mungu anauwezo wa kuwapa afya njema madaktari lakini hana uwezo wa kuwapa afya njema wagonjwa?!!!!
Remember those words in quote "above" are your diabolical opinions.
1. Billions of people wana afya njema na sio madaktari.
2. I personally nina zaidi ya miaka 10 bila kwenda hospitali na kuwaona hawa madaktari.
3. Madaktari wanakufa kila siku na wameshindwa kuokoa maisha yao.
I was not making an argument but informing you.Argument yako hasa ni nini?
Magonjwa mengi yanajulikana chanzo, ndiyo maana wataalamu wanagundua dawa!