Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Magonjwa mengi yanajulikana chanzo, ndiyo maana wataalamu wanagundua dawa!
Ngoja nikufumbue macho kidogo:
1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.
2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.
3. Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?