Complex

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,313
Jamani hebu tusaidiane hilim limachinga complex lini litaanza kazi yake?

Naninani alitoa wazo la hili complex?

Nadhani ni pesa nyingi zimetumika, sasa serikali huu mradi vipi?

Nimewaza sipati jibu hebu mnaojua juu ya huu mradi mtujuze...

Mipango yake ni vipi?
 
La wapi? kama la Dar limesha-anza kazi!
 
La wapi? kama la Dar limesha-anza kazi!

La dar mkuu bado kabisa nilipita pale wenye vibanda wanalalamika kuwa no wateja na wanatakiwa kulipia kila siku..
 
machinga complex haiwezi kufanya kazi kama tunavyotegemea labda tu soko la Karume likifungwa

complex iko karibu sana na soko la karume wateja waote ambao wangeweza kujaa humo wanaishia Karume
 
machinga complex haiwezi kufanya kazi kama tunavyotegemea labda tu soko la Karume likifungwa

complex iko karibu sana na soko la karume wateja waote ambao wangeweza kujaa humo wanaishia Karume

Hapa ipo kazi si wangejenga nyumba za makazi pale , kuliko hilo complex halijaanza kutema chochote sasa ni miezi kadhaa tangu lianze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…