Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
How they can work both side?
Naomba kufahamu au kujuzwa kwa mwenye ujuzi mkubwa, kwa kawaida malaika Hawa ni viumbe wa Mungu, Gabriel, Mikael, Rafael na Uriel, na asili zao, mfano Gabriel Ana asili ya maji, Uriel Ana asili ya moto nakadhalika,
Je inakuwaje tunaweza kuwatumia katika kutuunganisha na Mungu kwa ajili ya ulinzi wetu, Kutibu kuomba mema fulani kwa malaika unayemfahamu vyema na likawezakana,
Swali, inakuwaje unaweza kufunga siku moja mwanzo wa mwezi, ukawaomba kwa mkupuo jumlisha na wasaidizi wao, mfano juu ya Mali za haraka, ukazipata kwa haraka lakini wakakuletea msiba? Wa ghafla? Msiba wa ghafla tena!!?? Ngoja nisubiri wajuzi waje
Kuna mtu niliwahi kusikia akisema upo uwezekano mkubwa, ya kwamba Mungu na shetani ni marafiki /aidha wanafahamiana vyema/why God doesn't quit Satan? While he is able?Everything has a price to pay
Sio sahihi kuwaomba malaika hata kama ni malaika wakuu. Hawa ni viumbe wa Mungu Mwenyezi na wanakazi ya kuwatumikia binadamu ikiwa ni pamoja na kuwalinda.Naomba kufahamu au kujuzwa kwa mwenye ujuzi mkubwa, kwa kawaida malaika Hawa ni viumbe wa Mungu, Gabriel, Mikael, Rafael na Uriel, na asili zao, mfano Gabriel Ana asili ya maji, Uriel Ana asili ya moto nakadhalika,
Je inakuwaje tunaweza kuwatumia katika kutuunganisha na Mungu kwa ajili ya ulinzi wetu, Kutibu kuomba mema fulani kwa malaika unayemfahamu vyema na likawezakana,
Swali, inakuwaje unaweza kufunga siku moja mwanzo wa mwezi, ukawaomba kwa mkupuo jumlisha na wasaidizi wao, mfano juu ya Mali za haraka, ukazipata kwa haraka lakini wakakuletea msiba? Wa ghafla? /
ThanksSio sahihi kuwaomba malaika hata kama ni malaika wakuu. Hawa ni viumbe wa Mungu Mwenyezi na wanakazi ya kuwatumikia binadamu ikiwa ni pamoja na kuwalinda.
Unapaswa kumwomba Mungu kupitia Yesu Kristo naye kama ni lazima atatuma malaika stahiki akusaidie.
Ukitaka mali ya haraka unakwenda kinyume na utaratibu wa asili ambao Mungu hakubaliani nao. Kama bado unataka utajiri wa haraka takupasa umgeukie Shetani na gharama zake ni uhuru wako na furaha yako.
Ukitaka utajiri wenye heri na furaha umwombe Mungu akupe maarifa kupitia Roho Mtakatifu na ombi lako liwe specific na uwe na hoja nzito za kudai utajiri. Pia lazima uwe na strong commitment kwenye dai au ombi lako. Omba yote kupitia Yesu Kristo.