Computer and google map experts

Computer and google map experts

Jimido

Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
23
Reaction score
7
Kuna mtu nimempipia simu ikapokelewa lakin hakuongea nikakata simu,baada ya kukata simu ikaingia text inayoonesha. Connected,A,EXPW:ON,[URL="http://maps.google.com/maps?q=-3.379723,36.669060&t=m

Nikahisi kuna mtu ametumia google map kufanya tracking ni njia ipi atakayoitumia anafanfiwa tracking asipatikane kwa kutumia google map?
 
Mkuu wewe bado kidogo akupate ingia kwenye hiyo link uone
 
Kuna mtu nimempipia simu ikapokelewa lakin hakuongea nikakata simu,baada ya kukata simu ikaingia text inayoonesha. Connected,A,EXPW:ON,[URL="http://maps.google.com/maps?q=-3.379723,36.669060&t=m

Nikahisi kuna mtu ametumia google map kufanya tracking ni njia ipi atakayoitumia anafanfiwa tracking asipatikane kwa kutumia google map?
Mkuu sijui niww sijui niyeye upo SOMBETINI (Arusha) karibu na Fikira Medical Store..
 
Back
Top Bottom