Young Chalo
Member
- Jul 6, 2014
- 5
- 0
me ni mwanafunzi wa kidato cha tano na nachukua PCM,ningependa mnishauri kati ya computer engineering na civil engineering ipi inamata kwa hapa tanzania kwani napenda xana engineering hz mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me ni mwanafunzi wa kidato cha tano na nachukua PCM,ningependa mnishauri kati ya computer engineering na civil engineering ipi inamata kwa hapa tanzania kwani napenda xana engineering hz mbili
Soma zote mbili!
huyu jamaa anaongea kama keshafaulu cha six
Soma zote mbili!
Ukifanikiwa soma civil
sawa mkuuSoma ualimu.