computer engineering na civil engineering ipi inasoko kubwa kwa tanzania?

Young Chalo

Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
5
Reaction score
0
me ni mwanafunzi wa kidato cha tano na nachukua PCM,ningependa mnishauri kati ya computer engineering na civil engineering ipi inamata kwa hapa tanzania kwani napenda xana engineering hz mbili
 
Soma zote mbili!
 
subir matokeo yaje kuamua,matokeo ndo yanaamua ukasome chuo gan na facult gan,kua mvumilivu
 
Soma kwanza kwa bidii hakikisha unafanya vizuri, ukimaliza 6 na matokeo yakitoka njoo uombe ushauri hapa.
 
zote ziko poa ila ka unataka computer eng lazima uipende na uwe na mipango nayo madhibuti la sivyo utaishia kuwa comp eng mshenzi,,
 
me ni mwanafunzi wa kidato cha tano na nachukua PCM,ningependa mnishauri kati ya computer engineering na civil engineering ipi inamata kwa hapa tanzania kwani napenda xana engineering hz mbili

Kama unataka kusoma Computer Eng !
Kisa umevutiwa na mtu flani, basi we Acha !

Ila kama ipo moyoni (ipo kiukweli yani na unaipenda) basi nenda kasome !
Though unaweza kusoma iyo Civil

Afu ukawa unasoma Programming pia as part time na ukawa Developer mzuri tu !
!
 
Back
Top Bottom