Computer Programmers Only: Ifahamu Application ya kubadilisha maandishi yasieleweke kwa ajili ya kuficha kilichoandikwa (cipher)

Unachotaka kupata muongozo wake.lazima uwe specific unataka kusoma kitu gani mfano wewe hapo unataka kujua kuhusu nini? Ili nikupe muongozo
Computer programming....mambo ya lugha (python)
 
Search python programming for beginners.si unataka kuanza kana kwamba hujui kitu sio
Yaah...ndugu nimesearch vimekuja vtabu vying,ndomana nikaomba suggestion yko kama professional kp kzur.
 
We tafuta ambacho kinaanza kukufundisha jinsi ya kuprint kitu very simple kama neno "hello world" kwenye screen yako.

Back
Top Bottom