Computer technology and mobile phone solutios.

Tujitahidini kutotumia maneno ya kuudhi katika jukwaa hili ili kulienda heshima yake. Jukwaa hili linaheshimika sana kuliko majukwaa mengine ya kijamii.

Nakuelewa mkuu lakini unajua sometime dawa ya moto ni moto Ukimuonyesha busara mtu kama huyu anaweza asijifunze.
 

I have done that mara 3bt stil inagoma kwa baadhi ya softwares
 
binmgen, hyo certificate file ni kwa s40 mine ni s60 v5.
 
binmgen, hyo certificate file ni kwa s40 mine ni s60 v5.

@reala2m Certificate error na certificate expire hizi msg zitokea kwenye cm za symbian kuanzia s60 v3 unapo install apps ambayo haiko signed na maranyingi apps hizo upatakanaji wake sio wa halali au hazikuruhusiwa na nokia, sasa ili uweze ku-install apps hizo lazima simu yako iwe hacked au ujuwe jinsi ya ku-sign apps. Hizo simu za s40, s60v2 me sidhani kama zinatatizo la certificate. Tembelea hapa ujifunze kitu
 
Nisaidie kurejesha email yangu imevamiwa na wahuni sasa siwezi kuifungua na nina email muhimu za kikazi. Nilikuwa natumia yahoo.com
 
Ambae anapata certificate error ashapata solution?coz i used to get the same problem but i found a way to sign all expd apps,unsigned apps. Kama bado nitonye nkusaidie kamanda.
 
hili jukwaa leo limenitia kichefuchefu naona badala ya kufundishana technology sasa tunafundishana matusi
@zing and Gamba hili sio jukwaa la matusi
kama mtu anakutukana katika PM mripoti tu kwa Moderator au Invisible, kuyapaste hapa matusi mazito kama hayo ni kulikosea heshima hili jukwaa, pia tukumbuke JF ina member Under 18 na wengine ni watu wazima wenye umri wa baba zetu na mama zetu.
Anonimity isiwe sababu ya kuposti matusi au kashfa dhidi ya wanajamii wenzetu, Please Observe discipline ..
 
kwa mtindo huu watu tutaelimika ki sawa, ila kama hujui kaa kimyaaaa!! usikurupuke tu utawauza watu
 
haya nipe trick ya ku hack phone ipokee unsigned version.
 
u nid to generate ur own certficate codes to do this nenda hii site hapa s60 Certificate Key | Generate your own Certificate and Key | Self Sign apps and games sign up for a membership then confirm it in ur email add. Ukimaliza submit IMEI yako kwenye hiyo site then subiri siku moja au mbili ili certificate yako iwe generated,uwe unacheki site kama cert yko itakua tayari. Ukifanikiwa kuipata download cert na key utakayokua umepewa. Baada ya hapo kuna program inaitwa free signer inapatikana kwenye site nyingi tu na ni kwa ajili ya S60 na S40 ndo utakua unatumia kusign apps zako manually,just google it utaipata. Ukifungua hiyo program unaenda kwenye setting then kuna sehem ya kuweka key na cert ulizopewa na ukadownload,sehem ya key locate ile key ulodownload na sehem ya cert locate ile cert ulodownload. Baada ya hapo u r good to go.
 
Luckily if your iPhone or Touch is jailbroken and using Cydia then you can follow the steps below and still install unsigned applications via iTunes.
Install Unsigned Applications On iPhone or Touch With Firmware 3.0+ Via iTunes:

  1. Launch Cydia: First double click the Cydia desktop icon which will launch the application as shown below.
  2. Cydia Sources: First click the Manage in the bottom Cydia navigation menu which will open the window below.
    Now click on Sources to open the package source management window as shown below.
  3. Add New Source: Click the Edit button located in the top right of the window shown in the above image which will allow you to add new sources, edit current sources, or delete current sources. After clicking the Edit button a new button titled Add will appear in the top left of the window so click that to add cydia.hackulo.us as shown below. Once you have the new source location filled in click the Add Source button to complete the addition.
    **NOTE** You may be required to reboot your iPhone or iPod Touch after installing the cydia.hackulo.us source as noted by pinkurinal in the comments. Keep this in mind when attempting to install AppSync below.
  4. Search For AppSync: After you have added the new source above it might take a moment for the new packages to sync but once they do go back to the Cydia home screen and then click the Search button located on the right side of the bottom navigation. Type "AppSync" in the search window and click the blue Search button which should provide results similar to the below image.
  5. Install AppSync: Now install the correct version of AppSync based on the firmware version on your iPhone or iPod Touch. In my case I have firmware version 3.0 on my Touch so I installed AppSync for OS 3.0 by clicking on the app in the search results. After clicking on the app in the search results click on the Install button in the top right corner of the window as shown below.
    After clicking Install the details of AppSync will display and you will need to click the Confirm button also in the top right corner of the window as shown in the below image.
    The AppSync source will now downloaded and install on your iDevice. Once completed a screen similar to the below will display and allow you to return to Cydia while AppSync will be installed and ready to use.
  6. Sync Apps Via iTunes: Now return to iTunes and drag the unsigned application into iTunes and then click the Sync button to sync the applications with the jailbroken iPhone or Touch that now has AppSync installed. The signature verification is removed from the Springboard with AppSync so the error will no longer appear and you will be able to use the unsigned application you have downloaded or created.
Hope this helps some people get around the 0xE8008001 error received in iTunes when attempting to install unsigned applications on jailbroken devices. This will not work on a device that is not jailbroken.

Cheerz'..
 
Mie simu yangu Nokia N91 4GB ilikuwa nzima inafanya kaz ila Ndugu yangu akaiflash kutoka hapo nikiiwasha inanipa message ya "Startup error contact retailer" so kuna uwezekano kuwa alitumia wrong software version nimeipeleka kwa fundi mwingine jitihada hazijazaa matunda mpaka sasa nimeiweka tu nashindwa kuitumia yeyote anaeweza kunisaidia msaada tafadhali.
 

mimi pc suit ninayo ila ninapo connect inaniandikia( no modem found.) tatizo wapi wakuu?
 
Yangu pia inaleta ujumbe kama huo,msaada tafadhali
 
simu yangu ni nokia N81 nataka kuzisikiliza call zote zinaingia ktk cmu(nokia 1203-2) ya my wife wangu bila yy kujua. Naomba msaada wenu nifanyeje?
 
simu yangu ni nokia N81 nataka kuzisikiliza call zote zinaingia ktk cmu(nokia 1203-2) ya my wife wangu bila yy kujua. Naomba msaada wenu nifanyeje?

loh.mkubwa inaonyesha my wife wako humpendi.lol maana hapo unachotaka kujua ni mwanaume yupi anae mtongoza my wife wako.nasema humpendi kwanza hata ka simu kenyewe ulikompa kabaya pili unataka ujue nani anaemtongoza.najua unatafuta njia ya kumtema.lol. Kama ungesema unataka kujifunza ili ujue ningekupa mwanzo wa kuanzia lakini eti unataka usikie simu za waifu wako....mh mimi simo.
 
Hahahahaha nampenda sana my wife wangu cntoweza kumuacha kwasababu ya cmu,kanivumilia sana bana,na nimemtolea mfano my wife wangu ili iwe rahisi kwangu maana cmu yake naweza kuichezea bila matatizo yoyote. Na kuhusu kimeo nilichomnunulia sababu yuko careless sana kashapoteza cmu nyingi sana za maana. Nataka nijifunze mkuu naomba unisaidie ktk hili
 
Express the problem you have to get a solution


i have a laptop using window xp.. i was hit by unknown virus..the main attack point are:

  1. desktop does not respond at all and also these icon are not there.
  2. the start menu does not have shut down icon but on log off..
  3. the computer becomes very slow...
how can i have my desktop back with icons..
 
Simu yangu nokia 1203-2 nimeiweka security code ambayo naijua peke yangu lkn kuna rafiki yangu m1 ananitesa sana cjui huwa anabonyeza namba gani na kuitoa security code ktk cmu yangu na kuniibia salio langu. Msaada ktk hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…