kyesha Member Joined Feb 17, 2019 Posts 22 Reaction score 17 Jun 18, 2024 #1 Habari za Midaa Wadau!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto. Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell
Habari za Midaa Wadau!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto. Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell
kaa chini JF-Expert Member Joined Jun 4, 2022 Posts 1,935 Reaction score 4,048 Jun 18, 2024 #2 Ngoja wenyewe waje,maana mimi najua kuwasha na kuzima tu
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 727 Reaction score 2,004 Jun 18, 2024 #4 kyesha said: Habari za Midaa Wadau!!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto . Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell Click to expand... Inamda gani tangia ununue na unatabia ya kuazimisha
kyesha said: Habari za Midaa Wadau!!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto . Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell Click to expand... Inamda gani tangia ununue na unatabia ya kuazimisha
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Jun 19, 2024 #5 mwaibile said: Inamda gani tangia ununue na unatabia ya kuazimisha Click to expand... Nafkir mtoa mada anatafuta technical answer na sio Social answer Km huna utaalamu ungetulia
mwaibile said: Inamda gani tangia ununue na unatabia ya kuazimisha Click to expand... Nafkir mtoa mada anatafuta technical answer na sio Social answer Km huna utaalamu ungetulia
pirate JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 718 Reaction score 703 Jun 19, 2024 #6 kyesha said: Habari za Midaa Wadau!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto. Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell Click to expand... Embu Nijib kwanza aya maswali kisha tupate ufumbuzi; Umejuaje kama Adapter ipo sawa? Na imegoma kuwaka ukibonyeza power button inafanyaje? Umetoa battery na kuwasha kwa kutumia adapter? Je Pc yako inatabia ya kupata moto sana wakati wa kuitumia? Click to expand...
kyesha said: Habari za Midaa Wadau!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto. Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell Click to expand... Embu Nijib kwanza aya maswali kisha tupate ufumbuzi; Umejuaje kama Adapter ipo sawa? Na imegoma kuwaka ukibonyeza power button inafanyaje? Umetoa battery na kuwasha kwa kutumia adapter? Je Pc yako inatabia ya kupata moto sana wakati wa kuitumia? Click to expand...