- Thread starter
- #41
Zanzibar 1959
Mwaka 1959 mwalimu Nyerere alipokutana na Salim Ahmed Salim akiwa mwanafunzi wa umri wa miaka 17, moja kwa moja mwalimu Nyerere alibaini kipaji cha uanaharakati na kupinga ukoloni ndani ya mwanafunzi huyo
Salim Ahmed Salim wapili kuanzia kushoto wakiwa na Mwl. Nyerere mwaka 1959.
Picha kwa hisani ya tovuti : salimahmedsalim.com