PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Kada wa CCM, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Linus Silayo sasa rasmi anaenda kutia nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo.
Linus Silayo ni jina linalotajwa sana katika Jimbo hilo, amekuwa karibu sana kusaidia masuala ya kijamii ikiwemo yanayohusu vijana, anatarajiwa kuchukua rasmi fomu katika zoezi la uchukuaji linaloanza leo Juni 28.