Mr new culture@workYote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta Habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za raisi Samia na Serikali kwa ujumla, je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye Siasa na watu fake mambo hayatokei tu.
Don’t trust Mbowe, he is a snitch!
Nimekuelewa sana mkuuYote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta Habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za raisi Samia na Serikali kwa ujumla, je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye Siasa na watu fake mambo hayatokei tu.
Don’t trust Mbowe, he is a snitch!
Unajichanganya, binafsi sijaelewa hoja yakoYote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta Habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za raisi Samia na Serikali kwa ujumla, je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye Siasa na watu fake mambo hayatokei tu.
Don’t trust Mbowe, he is a snitch!
Acha ramli chonganishi wewe unatakaje Sasa,kama coincidence au vinginevyo 🤔Yote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta Habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za raisi Samia na Serikali kwa ujumla, je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye Siasa na watu fake mambo hayatokei tu.
Umehitimisha vema hoja hii mkuu, welldoneAkikaa kimya(amelamba asali ya watawala),akiongea(ni snitch),,,hivi watanzania tunataka kitu gani hasa?
Bora yeye ujasiri wa kuongea anao sio walio wengi ambao keyboard warriors [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kazi ya reporter ni kureport habari bila kuwa biased haijalishi upande habari inapotokea
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kichwa chako kimebeba meno tu lakini ubongo umejaa makamasi, mikoani habari kama za Mara utamsikia Geeeeeorge Maratuuuuu itveeeeee Maraaaaa,Yote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za Rais Samia na serikali kwa ujumla. Je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye siasa na watu fake mambo hayatokei tu.
Huyo mleta habari anaitwa Erythrocyte au?Yote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za Rais Samia na serikali kwa ujumla. Je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye siasa na watu fake mambo hayatokei tu.