CONCLUSIVE PROOF: Hurricane Ian was a highly calculated act of geoterrorism aimed at specific regions o to achieve multiple globalist object

CONCLUSIVE PROOF: Hurricane Ian was a highly calculated act of geoterrorism aimed at specific regions o to achieve multiple globalist object

The fact kwamba unatukana tu sio dalili nzuri. You really need to calm down.
Mpumbavu sio tusi mkuui.Mpumbavu ni mtu asiyejua kwamba hajui,asiyetaka kufundishika na asiyefundishika.
 
Again, that's bullshit. There's no way a hurricame of that magnitude to be man made or steered from one place to another unnaturally. You don't know what you're talking about.
Goodbye you are the bullshit.How do you know it can't,mimi kama scientist nakuambia it can.Kama wewe bado upo kwenye mawazo ya natural disasters,you are too out of date.Bye.
 
Goodbye you are the bullshit.How do you know it can't,mimi kama scientist nakuambia it can.Kama wewe bado upo kwenye mawazo ya natural disasters,you are too out of date.Bye.
I knew you'd run away with your tail between your legs because you have no proof of your crazy allegations. But seriously dude, you need help.
 
Hizi conspiracies wanazo sana watu weusi wa Marekani,wao wanaamini kabisw kuwa Vimbunga na weather calamities nyingine zinatengenezwa kwa ajili ya kumaliza kizazi chao,asilimia kubwa ya wakazi wa Kentucky wanaamini hivi
Na wewe unaamini nini zaidi ya kunya na kujamba na kusubiri kukinga ujira kiduchu wa mwezi?
 
We mzee achana na machapisho ya mitandaoni unaonyesha jinsi ulivyo mpumbavu,nakuuliza swali wewe ulienda ukajionea hiyo technology inavyofanya kazi unaniambia blah blah blah nakuuliza wewe uliiona!?
Mimi vitabu nilivyotumia shuleni viko kwenye mtandao.Journals ziko kwenye mtandao.Elimu uliyo nayo mwalimu material alipata mtandaoni!How come leo unaniambia nisiamini vitu vya mtandaoni, really??????You must be extremely stupid.Yes, mtandaoni kuna vitu fake,lakini mbona it is easy to tell what is fake and what is not!Tuondolee ujinga wako huko,wewe unatumiwa na Shetani kuhamasisha chanjo,lakini utayapata mazumbukoko kama wewe,watu intelligent huwapati ng'o.
 
Back
Top Bottom