Dit000
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 710
- 1,041
Unapomsaidia mtu pasipo kutarijia feedback yoyote kutoka kwake ni uncondioned love/agape love, mfano unapomsomesha mchumba wako bila kutarajia kuwa baadae utamuoa, Endapo ataleta pingamizi.
Unapomsaidia mtu kwa kutarajia kwamba atakuripaa baadae hiyo ni conditioned love.
Sasa kuna watu kwenye mahusiano hushindwa kutofautisha hizi aina za upendo unakuta mtu kampenda dada, akachukua majukumu ya kusomeshaa chuo na baada ya masomo kuisha mambo hubadilika unakuta dada wa watu anakataa kuolewa tena, sasa aliyemsomesha hukimbilia kusema nilijitoa kwa ajili yako lakini umenisaliti na kuwa nilikupa upendo wa dhati hivyo kupelelea muoaji kuchukua maamuzi magumu ya kuua, amesahau kwamba dada alimpa CONDITION LOVE na siyo UNCONDITON LOVE.