Condition and unconditioned love

Condition and unconditioned love

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
710
Reaction score
1,041
Unapomsaidia mtu pasipo kutarijia feedback yoyote kutoka kwake ni uncondioned love/agape love, mfano unapomsomesha mchumba wako bila kutarajia kuwa baadae utamuoa, Endapo ataleta pingamizi.

Unapomsaidia mtu kwa kutarajia kwamba atakuripaa baadae hiyo ni conditioned love.

Sasa kuna watu kwenye mahusiano hushindwa kutofautisha hizi aina za upendo unakuta mtu kampenda dada, akachukua majukumu ya kusomeshaa chuo na baada ya masomo kuisha mambo hubadilika unakuta dada wa watu anakataa kuolewa tena, sasa aliyemsomesha hukimbilia kusema nilijitoa kwa ajili yako lakini umenisaliti na kuwa nilikupa upendo wa dhati hivyo kupelelea muoaji kuchukua maamuzi magumu ya kuua, amesahau kwamba dada alimpa CONDITION LOVE na siyo UNCONDITON LOVE.
 
unapomsaidia mtu pasipo kutarijia feedback yoyote kutoka kwake ni uncondioned love/agape love, mfano unapomsomesha mchumba wako bila kutarajia kuwa baadae utamuoa, Endapo ataleta pingamizi.

unapomsaidia mtu kwa kutarajia kwamba atakuripaa baadae hiyo ni conditioned love

sasa kuna watu kwenye mahusiano hushindwa kutofautisha hizi aina za upendo unakuta mtu kampenda dada, akachukua majukumu ya kusomeshaa chuo na baada ya masomo kuisha mambo hubadilika unakuta dada wa watu anakataa kuolewa tena, sasa aliyemsomesha hukimbilia kusema nilijitoa kwa ajili yako lakini umenisaliti na kuwa nilikupa upendo wa dhati hivyo kupelelea muoaji kuchukua maamuzi magumu ya kuua, amesahau kwamba dada alimpa CONDITION LOVE na siyo UNCONDITON LOVE.
Hakuna cha love wala nini wanaume papuchi zinatusumbua mno.... Huko kusomesha sijui kulea yotee hio ni ili alipate tunda milele...
 
unapomsaidia mtu pasipo kutarijia feedback yoyote kutoka kwake ni uncondioned love/agape love, mfano unapomsomesha mchumba wako bila kutarajia kuwa baadae utamuoa, Endapo ataleta pingamizi.

unapomsaidia mtu kwa kutarajia kwamba atakuripaa baadae hiyo ni conditioned love

sasa kuna watu kwenye mahusiano hushindwa kutofautisha hizi aina za upendo unakuta mtu kampenda dada, akachukua majukumu ya kusomeshaa chuo na baada ya masomo kuisha mambo hubadilika unakuta dada wa watu anakataa kuolewa tena, sasa aliyemsomesha hukimbilia kusema nilijitoa kwa ajili yako lakini umenisaliti na kuwa nilikupa upendo wa dhati hivyo kupelelea muoaji kuchukua maamuzi magumu ya kuua, amesahau kwamba dada alimpa CONDITION LOVE na siyo UNCONDITON LOVE.
Unasomesha wewe ni mzazi wake?
 
Yoo, I can say that love is very important in our life. Due to the fact that a person is a social object and cannot live without environment and love. I recently found my girlfriend on the european dating site sofiadate and I can say that it was the best thing I have done for the last generation. And I'm really happy with her lately. So I wish everyone else to also try to find someone for yourself if you are lonely
 
Back
Top Bottom