20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Utamu wa pipi mate yako.Wakuu kuna condom ina utamu zaidi ya rough rider?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamu wa pipi mate yako.Wakuu kuna condom ina utamu zaidi ya rough rider?
Sikujua kama zina maumbo aisee, wekeni picha tujifunze
Unaijua kondom ya vipele😜m nachukua tu ujuzi kupitia comments za wakuu😁😁
Shule ya msingi kuna mtoto alikua anaitwa seif akaja na kondomu shule basi vipindi vilipoisha tukakusanyana tukaenda kwenye kisima tukaijaza maji ikawa kubwaaaaa nikikumbuka nacheka☺️
Story kuna kitu umeruka. Sema tu ulipuliza mdomo ukawaka futa😁😁😁😁Shule ya msingi kuna mtoto alikua anaitwa seif akaja na kondomu shule basi vipindi vilipoisha tukakusanyana tukaenda kwenye kisima tukaijaza maji ikawa kubwaaaaa nikikumbuka nacheka☺️
Kupuliza? Kiaje sasa, nakwambia tulikua nyomii tunaenda kuona ndomu inajazwa majiStory kuna kitu umeruka. Sema tu ulipuliza mdomo ukawaka futa😁😁😁😁
Haiwezi jaa maji bila kupulizwa kidogoKupuliza? Kiaje sasa, nakwambia tulikua nyomii tunaenda kuona ndomu inajazwa maji
Walipuliza wao basiHaiwezi jaa maji bila kupulizwa kidogo
Ndom na nyeto haina tofauti mkuu.Condom aina ya kavukavu ndo tamu zaidi
Hehehe kabisaaa,,,,,,ndo maana nimeacha kuopoa nimetulia sehem nakula nyama kwa nyama,,yani nihangaike nitoe na hela halafu baadae nivae ndom dah shidaNdom na nyeto haina tofauti mkuu.
Na hii uti ya siku hizi unaweza ukavaa ndom na bado ukaivagaaBora wewe umekumbuka condom, wengine wamepata UTI ,gono na kaswende usiku wa kuamkia leo.
weeeee mbona kuna maajabu duniani humuUnaijua kondom ya vipele😜
AsanteHongereni kwa kujilinda na kuwalinda wazinifu wenzenu.
Kweli Vijana mnahangaika na mashimo sanaa ,nawasikitikiaNa hii uti ya siku hizi unaweza ukavaa ndom na bado ukaivagaa
Haha hao sie ni enzi hizo, tumeshatoka hukoKweli Vijana mnahangaika na mashimo sanaa ,nawasikitikia