Condom gani inautamu zaidi?

Condom gani inautamu zaidi?

Nikiwa Kama mdau wa afya mwandamizi senior nimesoma comment za wadau mbali mbali ngoja niweke conclusions

Kuna condoms za Bei gharama hizi Zina include Kamasutra,Rough rider, dulex condom, erotica, kingsize,Bareback yaan na condom zoteee za brand ya CONTEMPO

Kuna cheap condoms zipo nyingi sanaaa PSI walikua na kiwanda chao Cha SALAMA CONDOMS now wamesha funga.. zifuatazo ni orodha ya baadhi ya cheap condoms.. life guard,fiesta,bull, kiss kiss, dume, e.t.c

Condoms nzurii na ya Bei rahisi inayo tembea Sana nimeona hata wadau kadhaa wameisifia Sana ni BULL CONDOMS nikiwa Kama mdau wa afya mwandamizi senior
 
Jina hilohilo (Life Guard) kipimo kizuri na ubora tofauti na Roughrider zile ni kwa ajili ya wenye duduz kama la wazungu warefu na Kanda ya ziwa ama watu warefu
Rough rider ni nzuri ila zina bana madudu yetu.
 
Tumia condom aina ya Zana kwa udhamini wa wizara ya afya 😀😀😀 ila cha moto utakiona maana kuna muda utachomoa ili uipake mafuta maana inabana na haina ulainishi wa kutosha
 
sikutegemea huu uzi ungepiga hatua hivi!



Nipende kuishukuru serikali ya mama. Asanteni!
 
Back
Top Bottom